rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Halafu yanga ndio was kwanza kulalamika timu zinanunua mechi wakati kumbe ni mchezo wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ombaomba anaweza akanunua mechi!!?Halafu yanga ndio was kwanza kulalamika timu zinanunua mechi wakati kumbe ni mchezo wao
😅😅😅Na hawawezi kwa soka La uwanjani pekee cha kushukuru wakongo kwenye uchawi wapo vizuri .....
Simba walale juu ya bahari vita watalala hewani ....balaaa lipo kwa mkapa j mosi ......
Naitakia vita ushindi wa kishindo
Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳😳Njano na kijani tu ndio imekuchanganya hapo wala sio Mtu wa Timu ya wananchi huyo.
mkuu yametimia mpemba kaenda madimbwinimsimu ujao najua dogo lazima mumchukue
mkuu yametimia mpemba kaenda madimbwini
ndo huyu huyu mkuu, si unajua tabia ni kama ngozi huwezi itoa