Ally Ally Mchezaji wa YANGA anayechezea Team Pinzani jinsi Anavyoisaidia Yanga kupata ushindi

Halafu yanga ndio was kwanza kulalamika timu zinanunua mechi wakati kumbe ni mchezo wao
 
zile pass za Ajibu kwakweli zinahamasisha timu pinzani kujifunga maana zina accerelate kwΓ  force ya impulsive kwahyo beki anakuwa anachonganishwa na kipa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…