Ally anaokota dodo chini ya mwarobaini

Ally anaokota dodo chini ya mwarobaini

Kwani Tale hajawahi kumsimamia msanii mwengine tofauti na Diamond..!?
Pia Ali Kiba hana management..!?
Pia suala la kusail kwenye game miaka mingi ndio kigezo cha kusema Ali ni mkali kuliko Diamond..!!?
Ali amesail muda mrefu kwenye game...
Sawa ni kweli..!
Lakini amefanya nini mpaka sasa..!?
Who is the icon of Tanzania in Music industry..!?
Acha chuki za KIJINGA mkuu..!
Ila sikubishii kwamba Ali Kiba ni mkali kimuziki kushinda Diamond..!
Pia ni haki yako kuamini hivyo..!
Mwisho; Diamond akirudi tandale kuuza mihogo wewe utakua Sinza Ambiance unafanya ile biashara Mbadala..!
Matusi yote haya ni kwa sababu nimemdisi mmeo au akili kidogo Tu?
Katika comment yangu umeona tusi lolote ?
Anyway asante kwa matusi mkuu
 
Matusi yote haya ni kwa sababu nimemdisi mmeo au akili kidogo Tu?
Katika comment yangu umeona tusi lolote ?
Anyway asante kwa matusi mkuu
Nani amekutukana..!?
Ahahaaaaah..!
Sio wewe ndio umenitusi mimi..!?
 
Nani amekutukana..!?
Ahahaaaaah..!
Sio wewe ndio umenitusi mimi..!?
Dogo tuheshimiane hujui ni nani unayeongea naye kama ambavyo mimi sikujui sasa jaribu kuwa MTU mzima.kidogo usichangie kama unaongea na washikaji zako ghetto.
Jiheshimu bwana mdogo.
 
Dogo tuheshimiane hujui ni nani unayeongea naye kama ambavyo mimi sikujui sasa jaribu kuwa MTU mzima.kidogo usichangie kama unaongea na washikaji zako ghetto.
Jiheshimu bwana mdogo.
Kweli tuheshimiane kaka...
Pia acha dharau...
Sina akili ndogo..!
Pia sijaolewa na Diamond..!
Over!!!
 
Natamani bifu ya le mutuz na ferouz ili ferouz nae asemwe apate kiki
 
inasikitisha sana kumlinganisha msanii mkongwe na msanii mchanga .
Kinachombeba domo ni management yake Tu
Siyo kipaji wala nini
Ally anasail kwenye muziki kwa miaka mingi zaidi ya domo bila hata management na anapiga mpunga domo babu tale akiacha kumpa support kwenye management lazima.umkute tandale anauza mihogo
Kitendo tu cha kumuita Diamond "Domo" kinaonyesha hayo maoni yako ni feki na ki ukweli unamkubali sana Naseeb!!
 
Mnamatatizo ya AKILI...
Ni vema mkaendelea kumfananisha huyo Ali Kiba na Bwana Dangote ingawa kimafanikio ni DHAMBI kubwa sana kuwafananisha hao watu...
Sio Diamond wala huyo Ali Kiba...
Wote wawili wameachwa mbali sana Kimuziki na Ben Pol..!
Ali Kiba yuko overrated lakini ni MZEMBE...
Diamond Platnumz ni MJANJA..!
Mwenye matatizo ni ww usojua ladha ya mziki mtamu Bali kufuata mkumbo kisa mondi Ana pesa bila kujua pesa zinapatikana kwa njia nyingi sio lazima kwenye mziki tu , sasa sisi tumeongelea msanii mwenye mziki mtamu hatujaongelea mafanikio ..inaonekana mwalimu wako alipata Kazi Sana.. Angalia usijeolewa na huyo mondi maana c kwa mahaba hayo
 
inasikitisha sana kumlinganisha msanii mkongwe na msanii mchanga .
Kinachombeba domo ni management yake Tu
Siyo kipaji wala nini
Ally anasail kwenye muziki kwa miaka mingi zaidi ya domo bila hata management na anapiga mpunga domo babu tale akiacha kumpa support kwenye management lazima.umkute tandale anauza mihogo
Ally Ana sauti ya kipekee na haiwez kupotea wala kesho kwenye live band Kama kawa, mond akiweza live band nabadili jinsia
 
Mwenye matatizo ni ww usojua ladha ya mziki mtamu Bali kufuata mkumbo kisa mondi Ana pesa bila kujua pesa zinapatikana kwa njia nyingi sio lazima kwenye mziki tu , sasa sisi tumeongelea msanii mwenye mziki mtamu hatujaongelea mafanikio ..inaonekana mwalimu wako alipata Kazi Sana.. Angalia usijeolewa na huyo mondi maana c kwa mahaba hayo
Duh...
Punguza matusi basi kidogo mkuu...
Mbona huyo Diamond anakuchanganya sana mkuu...
Me namzungumzia Ben Pol...
Wewe unanirudisha kwa Diamond tena..!!!
Nimekuambia hivi...
"Wote wawili wameachwa mbali sana Kimuziki na Ben Pol..!
Ali Kiba yuko overrated lakini ni MZEMBE...
Diamond Platnumz ni MJANJA..!"
 
Ally Ana sauti ya kipekee na haiwez kupotea wala kesho kwenye live band Kama kawa, mond akiweza live band nabadili jinsia
Ben Pol, Barnaba, Walter Chilambo, Nuruelly, Christian Bella, Rama Dee...
Nimekuongezea idadi ya Wasanii wanaoeweza kupiga LIVE band mkuu..!
Na wengine kwenye hiyo LIST ni WAKALI kushinda Ali Kiba..!
 
Duh...
Punguza matusi basi kidogo mkuu...
Mbona huyo Diamond anakuchanganya sana mkuu...
Me namzungumzia Ben Pol...
Wewe unanirudisha kwa Diamond tena..!!!
Nimekuambia hivi...
"Wote wawili wameachwa mbali sana Kimuziki na Ben Pol..!
Ali Kiba yuko overrated lakini ni MZEMBE...
Diamond Platnumz ni MJANJA..!"
Mashabiki wa Ally Kiba ni wale wanaobeza kwa nini achukue demu Uganda na si Tanzania, kiasili ni wale walioumizwa sana na wema kuachwa na Naseeb!! Yaani ni mashabiki wa Wema!!

Sasa hapa wapo wenye jinsia ya kiume waliokumbwa na mkumbo huu bila kujijua!! Wanaongozwa na chuki tu!!

Hawa utasumbuka nao sana!!

Eti Kiba anajua kuimba!! Ujuzi wa kuimba ni wewe shabiki ndio utaujua! So kila mtu ana msanii wake anayeamini anajua kuliko wote!!

Hata mimi naamini Tz hakuna kama Ben pol, lakini pia naamini Tanzania kwa bongofleva sasa wakala wetu ni DIAMOND!!
 
Kuna msanii mmoia aliimba hivi ".....sisi tunapiga hela nyie mnanuka vikwapa..."

Anyways, Muziki in kazi na lengo la kazi ni kujipatia pesa kama bifu ni moja ya strategy ya wao kujiongezea kipato basi wacha wapige hela..
 
Mashabiki wa Ally Kiba ni wale wanaobeza kwa nini achukue demu Uganda na si Tanzania, kiasili ni wale walioumizwa sana na wema kuachwa na Naseeb!! Yaani ni mashabiki wa Wema!!

Sasa hapa wapo wenye jinsia ya kiume waliokumbwa na mkumbo huu bila kujijua!! Wanaongozwa na chuki tu!!

Hawa utasumbuka nao sana!!

Eti Kiba anajua kuimba!! Ujuzi wa kuimba ni wewe shabiki ndio utaujua! So kila mtu ana msanii wake anayeamini anajua kuliko wote!!

Hata mimi naamini Tz hakuna kama Ben pol, lakini pia naamini Tanzania kwa bongofleva sasa wakala wetu ni DIAMOND!!
Ndio iko hivyo mkuu...
Wanasema Ali Kiba ni mkali kuliko Diamond...
Ila kwa VIGEZO wanavyotoa wapo WAKALI kushinda huyo Ali Kiba..!
Hii inamaanisha huyu jamaa ni overrated...
Ben Pol alikua sahihi sana katika hili jambo..!!!
 
Ally amebebwa sana na Diamond hii haina ubishi!! Nafikiri pia kwa mtu mwenye akili kama Ally haachi kumshukuru sana Naseeb kwa kumrudisha Gemuni!

Anaweza asimshukuru hadharani lakini najua wote sisi tuna mambo ambayo huwa tunayakiri moyoni!!
 
Back
Top Bottom