Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Matusi yote haya ni kwa sababu nimemdisi mmeo au akili kidogo Tu?Kwani Tale hajawahi kumsimamia msanii mwengine tofauti na Diamond..!?
Pia Ali Kiba hana management..!?
Pia suala la kusail kwenye game miaka mingi ndio kigezo cha kusema Ali ni mkali kuliko Diamond..!!?
Ali amesail muda mrefu kwenye game...
Sawa ni kweli..!
Lakini amefanya nini mpaka sasa..!?
Who is the icon of Tanzania in Music industry..!?
Acha chuki za KIJINGA mkuu..!
Ila sikubishii kwamba Ali Kiba ni mkali kimuziki kushinda Diamond..!
Pia ni haki yako kuamini hivyo..!
Mwisho; Diamond akirudi tandale kuuza mihogo wewe utakua Sinza Ambiance unafanya ile biashara Mbadala..!
Katika comment yangu umeona tusi lolote ?
Anyway asante kwa matusi mkuu