Mbonà unakuwa juha, Hawa wanatetea demokrasia, kosa liko wapi?Yupo mwingine anaitwa tito magoti,, huyo alikua akijifanya kutetea haki za binadamu na NGO,fulani hivi,,nae ameanza kutoa vitisho vya kisiasa,,yaani keshakuwa mwanasiasa na anatoa kauli za kushuritisha mamlaka,,"namuangalia tu...huwezi kuwa msaliti,halafu......"
Wala sio. Huyu aondoke kabisa majukwaani. Watu kama mdude ndio wanafanya chadema kuonekana chama cha ovyoAm speechless [emoji87]
Tulilia wengi alipoteseka gerezani
Tulihuzunika sana alipolazimishiwa makosa ya uongo ili apotezwe...
Waliusoma upepo mapema! Sometimes shari zinaepukika ukitumia akili na hekima kidogo tu..hicho anachopendekeza ali bananga labda kinawezekana ktk awamu hii ya rais samia suluhu.
..wakati wa rais magufuli walikuwepo wakina joseph selasini, james mbatia, prof.lipumba,...ambao walikuwa na mtizamo kama wa ali bananga lakini bado hila na ukatili wa ccm dhidi yao zilikuwa palepale.
Bananga anataka kusema Mdude alikuwa mgonjwa wa akili kabla hajapelekwa jela? au amekuwa mgonjwa wa akili baada ya kutoka jela?
Mdude jana hakumtukana Rais, ni kauli aliyoitoa ndio imeonekana kuwashangaza/shtua wengi, japo nina hakika wengi wenu mkiambiwa muoneshe tusi kwenye ile kauli hamtaweza, mnatumia hisia zaidi kuhukumu.
Mmekuwa mkifikiria hili jambo kwa upande mmoja tu, kwanini hamfikirii na mateso aliyopitia Mdude akiwa gerezani muda wote huo kwa makosa ya kubambikiwa?
Nae ni binadamu, ana hisia, muacheni atoe frustrations zake, badala ya kusema akajifungie ndani huku sheria za nchi zikiendelea kuvunjwa, na mvunjaji ndio mnamlinda kama malaika, mnamvimbisha kichwa azidi kujisahau aendelee kufanya apendavyo.
Ikulu ni ofisi ya umma, na yeyote anaekaa pale ana jukumu la kuwatumikia wananchi bila kujali itikadi zao, usawa na haki viwepo kwa wote, akijisahau kwa hilo ni lazima akumbushwe, mahaba yenu kwa "mama" yatazidi kumuharibu, amkeni.
Wewe na mdude tofauti yenu ni ndogo sanaMwehu ni wewe Mpwa
Wewe jidanganye tu.Ikulu ni ofisi ya umma,
Kama ccm mlivyoona mmepata mtaji enzi za yule kiongozi muovu.Mdude kichwa yake siyo nzuri na Chadema wanaona wamepata mtaji wa kisiasa.
Huyu kijana inaonesha kichwani fuse hazipo sawa sawa na Chadema wanamuangalia tuu.
Hayakuhusu! Wewe na mwendazake mnafananaWewe na mdude tofauti yenu ni ndogo sana
Mdude asidhani atatujazia magereza tu......nadhani labda dola iangalie namnaBananga anataka kusema Mdude alikuwa mgonjwa wa akili kabla hajapelekwa jela? au amekuwa mgonjwa wa akili baada ya kutoka jela?
Mdude jana hakumtukana Rais, ni kauli aliyoitoa ndio imeonekana kuwashangaza/shtua wengi, japo nina hakika wengi wenu mkiambiwa muoneshe tusi kwenye ile kauli hamtaweza, mnatumia hisia zaidi kuhukumu.
Mmekuwa mkifikiria hili jambo kwa upande mmoja tu, kwanini hamfikirii na mateso aliyopitia Mdude akiwa gerezani muda wote huo kwa makosa ya kubambikiwa?
Nae ni binadamu, ana hisia, muacheni atoe frustrations zake, badala ya kusema akajifungie ndani huku sheria za nchi zikiendelea kuvunjwa, na mvunjaji ndio mnamlinda kama malaika, mnamvimbisha kichwa azidi kujisahau aendelee kufanya apendavyo.
Ikulu ni ofisi ya umma, na yeyote anaekaa pale ana jukumu la kuwatumikia wananchi bila kujali itikadi zao, usawa na haki viwepo kwa wote, akijisahau kwa hilo ni lazima akumbushwe, mahaba yenu kwa "mama" yatazidi kumuharibu, amkeni.
Mdude anafanywa mtaji wa kisiasa na wana chadema wenzake.Am speechless [emoji87]
Tulilia wengi alipoteseka gerezani
Tulihuzunika sana alipolazimishiwa makosa ya uongo ili apotezwe.
Tumepigana wengi Mdude chadema kuwa huru.
Alipotoka jela alistahili yafuatayo;
1-Akaione familia yake akae nayo kwa muda
2-Apata physician amfanyie check up ya afya yake kwa kina (muda aliokaa gerezani ni mwingi sana).
3-Apatikane psychologist akae nae kumjenga kisaikolojia ili akitoka kuingia kwenye harakati aingie akiwa imara kimwili, kiakili na kimaono.
.
Kuendelea kumpatia kipaza sauti mapema haya SIONI TUNACHOJENGA, SIONI TUKIMSAIDIA, SIONI TUKIMPENDA MDUDE!
.
Sio lazima mnielewe na sio lazima mfanye hili ila TUFIKIRIE MAUMIVU TULIYOPITIA KAMA TUNA UTAYARI WA KUYAPOKEA TENA.
.
Alitufunza Mkiti freeman mbowetz kwamba tuyakatae mauti, tuivuke mitego inayotegwa kwetu kuturudisha nyuma maana hakuna faida kufa ama kusota jela. Tutapoteza muda wa kujenga chama kwa ajili ya kupigania walio jela, tutapoteza rasilimali watu kama tutakufa, tazama leo hakuna Alphonce Mawazo tena. Tutampata wapi Mawazo? Familia yake itampata wapi mwingine?
.
Ni muda wa kufikiri aina ya harakati zetu towards...... Bora kuwa mkimbizi uanzishie mashambilizi ukiwa mahali ambapo hata mbu hakung'ati kuliko kujitoa muhanga hivi ukiwa huna uhakika wa KUSOMA ULICHOANDIKA!
.
Msimamo huu ni wangu, usipoupenda uheshimu wa kwako.