Ally Bananga: Nikifika mbinguni (peponi) nikikuta Mama Samia hayupo natoka peponi

Huyu Kada mpya wa ccm kaanza na moto lakini kachelewa alikuwa wapi zama za kufika bei huyu akapishana na daftari la manunuzi la polepole na bashiru.
 
Huyu kada anafikiri kuingia mbinguni ni kama kuingia moja ya vikao vikuu vya chama cha siasa kwamba mkt akiwa hayuko unauliza kwa nini? Aache kumuingiza Mungu wa Mbinguni kwenye drama za siasa.

Jana wako viongozi wa Kiroho walitakiwa wafanye kama Paul na Barnabas walivyofanya hapo Matendo sura ya 14 na aya ya 14. Pale walipopewa sifa/kazi ya Mungu ya kukuza. Sijui kama Neema ya Mungu iliwatembelea wakastuka ama walilewa kusifiwa. Wabaki na kazi yao ya kupanda na kumwagilia tu.
 
😂😂😂 na bado wako wengi njiani , ccm no 1
 
Watu wa hivyi wa kuogopa Kama ukoma,Yuko tayari kujipendekeza kwa gharama yeyote apate teuzi.
Hata marinda Yuko radhi ayaachie tu, sababu hata bikra yake ilishatolewa na mavih kitambo tu
 

Yaani yeye ndo anaamua nani aende mbinguni......mshamba tu. Aache kufananisha mbingu na siasa uchwara .
 
Mama awe makini na aina hii ya watu ikiwezekana ajitenge nao na kuwakemea pia..

Hii ni Kufuru, maana yake hapo unabishana na mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ambaye ndiye mjuzi wa kila jambo lakini pia ndiye mwenye kuziuma pepo na moto na ndiye mchaguzi pia wa haki nani aende peponi na nani aende motoni.... TUWE MAKINI VIJANA NA HIZI NJAA ZETU..
 
Huyu mbwiga ana viashiria vyote vya ushoga.
 
Nj
SABAYA alimsahau je huyu kwenye ile list pendwa ya alio wabatiza kwa moto baada ya dogo janja😁😁?
Njaa kitu kibaya sana je katiba ameona IPO Sawa tume huru siomuhimu tena kumbe hawajamaaa wahovyo hivi sina mpango Wa kumsikiliza mwanasiasa yoyote mungu atashuka mwenyewe kuja kutusaidia tupate ukombozi
 
Amekufuru sana huyu bananga, hakuweka akiba ya ubinadamu

Shida zake za maisha ameona aseme chochote mdomoni mwake
 
Amekufuru sana huyu bananga, hakuweka akiba ya ubinadamu

Shida zake za maisha ameona aseme chochote mdomoni mwake
Atubu maana kauli ile ni yenye ukakasi na kufuru ya hali ya juu. Matokeo yake yanaweza kuwa mabaya.
 
Du! Nimeamini wagonjwa wa akili Africa ni wengi na wengine ni viongozi wetu Hawa ...Ni vema wakapimwa kwanza
 
Exactly....huyu kijana ni mpuuzi sana......huku ni kukufuru....
 
Kumbuka ameongea kisiasa na si kwenye hadhar ya mahubiri,hata yeye na aliyekua akiwahutubia wote wanajua yeye hajui kesho,na huko peponi hakuna anayejua kweli kama kupo,hata wewe hujui na hautajua

Kwa hivyo huna sababu ya kuanzisha mada dhidi ya kauli za huyo sijui Bananga umesema mi simjui,nimemuona jana

Shutuma zake juu ya kauli yake binafsi ningeiona ina ukakasi iwapo angezungumzia kwenye mkutano wa dini,sema waTanzania kila kitu hua mnajadili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…