Ally Bananga: Nikifika mbinguni (peponi) nikikuta Mama Samia hayupo natoka peponi

Uko sahihi mkuu,kitendo cha Rais kutomkemea huyu jamaa tayari kashiriki Kufuru aliyoisema huyo Bananga,yaleyale ya jiwe kufananishwa na Yesu hakuikemea hiyo kufuru hadi ameondoka.
 
Jombi malizia ni marioo sugu anaetegemea ubunge wa mkewe kuserereka,pia mkewe huko bungeni wabunge wanabanjuka nae hatari na jamaa linajua
 
Kwa kaliba yake Bananga anatarajia kupata uteuzi gani? Huyo anafaa kuwa mwanaharakati tu au Diwani apambane kwenye vikao huko.
Atapewa cheo pamoja kua na elimu ya mchopanga dc wa rorya,mama kateua madc n maded wengi walio na elimu ya frm 2 wengi
 
Bananga ni oppurtunist mkubwa kwenye siasa yaani mtafutaji wa fulsa tu. Ni hodari wa kujenga hoja za kisiasa ila hili la juzi kazidisha chumvi. Mama asivyo mzoefu na watu kama bananga anaweza kumpa uteuzi na kuwaudhi watafuta fulsa wengine kwenye chama chake.
 
hao ni wasaka tonge tumewazoea.wamesota mtaani wamaona sasa wajipendekeze kwa rais ili wapewa vijinafasi ili waendelee kuiba.najua watu wa kaskazini huwa wako makini lkn huyu bwana atakuwa hana vinasaba vya kaskazini.tusipoteze muda sana kuwajadili watu kama hawa sababu hata kwa mtu asiyemaliza darasa la saba kwa ile hotuba anajua huyu bwana kichwani hamna kitu.
 
Aisee 🤣🤣🤣 yaleyaleeee
 
kushupalikia sana siasa kama hazikufaidishi ni ujinga tu.
 
Pandikizi
 
Tulimshauri aliyepita awakemee watu wanaotumia maneno makuu sana kumtukuza maana wanamtafutia tatizo mbele za Mungu,hakusikia

Mimi nadhani huenda hata hawatumwi hawa bali ni staili yao ya kujipendekeza kwa wakubwa.

Ila wewe mkubwa unapoona hivi unapaswa kujishusha na kuwakemea,ukikaa kimya ni kama unakubaliana nao.

Wewe ni muislamu na unajua heshima ya Mungu ilivyo vizuri kabisa.

Usikubali hii "shirk".Wakemee hawa watu,usijitafutie matatizo na Mungu.

Mjumbe wa YAHWEH nimemaliza.🙏
 
He is damned

Masikini jamaa wa watu anaanza na kukufuru kabisa

Njaa mbaya njaa mbaya

Wanapita pattern ile ile ya mataga

Soon watafikia tamati kama kule kule walikofikia
 
Bananga wewe sio wa mbinguni hata kdg kwani imeandikwa 'ole wao wanafiki na wanaojipendekeza kwa watawala kwani hawataionja pepo kamwe''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…