Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

Watu wengine wanashindwa kutumia hekima, huyo alitakiwa akatae kujibu hilo swali kwa sababu ya "Conflict of Interests", Sasa amekwenda kujiadhiri.

Linapokuja suala la Katiba ya nchi, mtu unaweka pembeni maslahi yako binafsi, Maana kila mtu akiweka mbele maslahi ya familia yake kwanza kabla ya Taifa kutakuwa na nchi? —Au Bananga anafikiri yeye ndo mwenye familia peke yake Tanzania hii?
 
Atamlinda Kwa damu wakati gani? When she is right or wrong?

Ukimlinda Kwa Damu, when she is wrong, hujui unachofia.

The Decent and truthful people, always die for noble cause.

Get rid of being self interested, mediocre and myopic Mr Bananga.
Utapata tabu na Bananga ...wanasiasa wa upinzani wanatembea na price tag shingoni Mzee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Walianza wakongwe itakua hawa...soon wataunga juhudi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa hiyo mkewe hata akitenda uovu atamlinda tu? Kwa Nini asimsaidie kumwondoa kwenye songombingo la kupata ubunge usiostahili? Je viapo vyao huko msikitini viliruhusu kula hata visivyostahili?

Kwake anajua kabisa huo sio uovu ndio maana amesimama na mkewe
Hivi kulikua na uovu mkubwa zaidi ya ule wa chadema kumsafisha waliyemwita fisadi papa ili wakule pesa zake!?
 
Human right is only right to life, which is a right to all living things and is absolutely free, the air we breathe! Everything else is politics.
 
Nimekumbuka kauli ya JKN: 'Umalaya wa kisiasa'

Umejaa tele kwa viongozi wa chadema.. wepesi kununuliwa sana wale. Halafu wanachama wao wakifanya maamuzi yao wanalialia🤣🤣🤣
 
Hizi ndo habari unazozipenda Bwana Musiba.
Vp baada ya lile tahira kufa bado unapokea mshiko kuwatukana wazee wa chama na wapinzani? Vp vigazeti vyako vina hali gani baada ya kifo cha bwana wako?
 
Akiondolewa mke wake ubunge, Bananga atarudi CCM. Mark my words
 
humo CDM viti maalumu vilikuwa ni vya wake wa makada?
 
Hana lolote huyo anaangalia mpunga tu
 
Amueni kijinga muone mziki wake, wale wanawake wabunge 19 wamebeba wengine 1000 nyuma Yao,

Chadema tendeni haki Kwa mjibu wa katiba yenu
 
bado siasa za upinzani zimejaa wanasiasa wajinga-wajinga.
 
Unashangaa wana siasa wa Tanzania? Usikute wala hajuwi anaongea au kutetea nini...akamatwe tu apelekwe Kigamboni Zoo.
 
Yupo kwenye list wateuliwa watarajiwa..DCs,DEDs... Mama ameona uvccm hamna kitu..rejea ya Sabaya,Makonda...linganisha na Gekul,Waitara,Silinde
 
sawa, kumfuata mkeo ama kubakia CDM huo ni uamuzi wako ndugu - CDM haiwezi kukuingilia mambo yako ya ndani... - after-all uanachama wako ni kwa hiari yako na maisha ya kisiasa ni ya kwako - uamuzi wowote utakaouchukua hilo ni la kwako na mkeo (familia), sisi hayatuhusu - chama kinasonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…