Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Ugua pole kuna jamaa mmoja amewahi kuniambia mambo kadhaa kuhusu huyu kiumbe zamani hizo alikuwa moto wa kuotea mbali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aminaPole Choki, mwenyezimungu atakurudisha katika hali yako ya uzima ili uendelee na shughuli zako.
Aiseeee,hawa si walikuwa Band moja na wakina Stone??????Ngoja utaona ule uzi wa orodha unafufuliwa
Teh teh teh Wosia ulikuwa unasemaje Mh KihiyoNikimsikia Ali Choki nakumbuka wosia Wa Diana Aston Villa
"Dunia haina Siri leo nimegundua, Marehemu amekufa kaacha orodha" By Jeby,R.I.P.Haha, .orodhaa nimekumbuka kitabu orodha/the list cha Furaha,..
Uzi balaa ule..Ngoja utaona ule uzi wa orodha unafufuliwa
Batch ya kwanza watakaopewa zile Noah za MakinikiaDah aisee yupo kwenye list gani Mbona Siwaelewi [emoji5]
Huchezi mbali
Aiseee vibaya hivi....
Jamani, naona kazi imeanza ya udukuzi !
" wale wapenda ngono wazichunge tabia".."Dunia haina Siri leo nimegundua, Marehemu amekufa kaacha orodha" By Jeby,R.I.P.
Tunajikumbusha tu shost.Huchezi mbali
Ohhhh sorry kakaAiseee vibaya hivi....
Tunajikumbusha tu mkuuJamani, naona kazi imeanza ya udukuzi !
SureTunajikumbusha tu shost.
Unajua katika maisha kuna kuweka akiba ya kila jambo....
Katika hiyo list 4 wameshadanja.
Ohhhh sorry kaka
Sijui kwanini only in Tz mtu akiumwa cha kwanza watu huwaza ni 'Ngoma'.... ajabu wengine hufurahi kabisa na 'nilijua' kibaoooo.
Ni ukosefu wa elimu au chuki iliyopitiliza?
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.