macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Sehemu nyingi zenye umaskini wa kutupwa ndivyo hivyo. Hili ni suala la kisaikolojia. Umeshaona jinsi inapotokea ajali watu wanakimbilia kupiga picha kama ni jambo zuri? Imekuwa pia kawaida watu kudai picha za majeruhi au wafu wanaposoma kuhusu ajali au mikasa.Sijui kwanini only in Tz mtu akiumwa cha kwanza watu huwaza ni 'Ngoma'.... ajabu wengine hufurahi kabisa na 'nilijua' kibaoooo.
Ni ukosefu wa elimu au chuki iliyopitiliza?
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.