macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Sehemu nyingi zenye umaskini wa kutupwa ndivyo hivyo. Hili ni suala la kisaikolojia. Umeshaona jinsi inapotokea ajali watu wanakimbilia kupiga picha kama ni jambo zuri? Imekuwa pia kawaida watu kudai picha za majeruhi au wafu wanaposoma kuhusu ajali au mikasa.Sijui kwanini only in Tz mtu akiumwa cha kwanza watu huwaza ni 'Ngoma'.... ajabu wengine hufurahi kabisa na 'nilijua' kibaoooo.
Ni ukosefu wa elimu au chuki iliyopitiliza?
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Ndio mkuu,Aiseeee,hawa si walikuwa Band moja na wakina Stone??????
Ukiwa maharufu ni bora usiufungue[emoji23]Uzi balaa ule..
Umeona eeeeSure
Kabisa kabisa wanguUmeona eeee
True kabisa
Aiseeee !!!
Mkuu unafufua makaburi
AlisemajeNikimsikia Ali Choki nakumbuka wosia Wa Diana Aston Villa
NgwengweMbona sielewi wachangiaji humu yaani mnataka kumaanisha kuwa jamaa ana nini....[emoji56][emoji23]
ILE ORODHA HATA SIKUTEGEMEA IMEANDIKWA VITU TOFAUTIHaha, .orodhaa nimekumbuka kitabu orodha/the list cha Furaha,..
Nikimsikia Ali Choki nakumbuka wosia Wa Diana Aston Villa
Naona mzee mzima kafika sasa na mikoba ya kunangia. Aisee
ila pia kutembea na mwenye tatizo sio lazima upate hilo tatizo mkumbuke
Babu mfukunyukuu...kamoo lakini[emoji16][emoji125]
Orodha ya furaha?!ILE ORODHA HATA SIKUTEGEMEA IMEANDIKWA VITU TOFAUTI