HaahaaHahahahaha
Sie wengine Jf ni kama boyfriend wa pili.
Kweli?Maisha bhana ! Muumini Mwinjuma siku hizi anakunywa chai ya vitumbua na maharage kwa mama wawili Mtoni Mtongani !
Kwani mkuu unajua anachoumwa?Kwa neema za Mungu madaktari watawezesha uponyaji wake
ukimuona Mnoga utalia unga mbaya jamani acha tuView attachment 858373
Mchinga generation au G8 mwaka 2005
Kutoka kushoto Khadija Mnoga, Ally Choki, Banza Stone na Muumini Mwinjuma.
Ni mwaka huu aliibuka na nyimbo kama MWAKA WA TABU,KILA CHENYE MWANZO, na NGUZO TANO ZA MAPENZI.
Bhana weeeeHii list naona wamebaki watatu ukifatilia wote ni kaugonjwa kalekale marehemu Diana aliutabiri.
Hadija mnoga kawa teja?ukimuona Mnoga utalia unga mbaya jamani acha tu
HukukoseaMbona kama vile nimemuona Rais wa misiba kwenye hiyo network au nimeona vibaya?[emoji33]
Mungu hajawahi kushindwa jamboKwani mkuu unajua anachoumwa?
Manake vingine haviponyesheki
Hakuna asiyependa ngono... labda hanithi...sema tujidhibiti" wale wapenda ngono wazichunge tabia"..
Huyu Dada nilikuwa nampenda sana.ukimuona Mnoga utalia unga mbaya jamani acha tu
Hali ni mbaya kwakweliBhana weeee
Sie wabongo tunasubiri yajayo tu.
Ila jamani hali ni mbaya kiukweli.
Ni Mungu tu anatunusuru
Tokea tukio hilo ndipo nilipoamini kwambabaadhi ya wasanii wanatumia ndumba kutuchota tuwapende na wavume,alikuwa juu sana mpaka mganga yule alipojitokeza na kudai kudhulumiwa na muumin na kuhaidi atamfelisha,na kweli mambo ya muumini kuanzia pale yalienda kombo mpaka leo akapotea jumla.Ha! Ha! Ha! inasemekana tangu amdhulumu mganga wake huko Bagamoyo mambo yote yakaharibika na wake wote wametoka nduki .
Ila kiukweli toka moyoni, ni Mungu tu anayetuepusha na haya mambo.Hali ni mbaya kwakweli
Sitakagi kuwazaIla kiukweli toka moyoni, ni Mungu tu anayetuepusha na haya mambo.
Nikifikiria chain ya huu ugonjwa basi unajiona kabisa umo ndani ya chain.