Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Mie kwangu imekatika maana baada ya pale mara kibao tu nei nei ha ha ha ha ha so npo vzr. Ila yule uliefumwa nae mune wa mzungu labda maana sio siku nyingi
Jidanganye.
Hujui yule demu wako cheupe nampelekaga wapi.
Umeikimbia bahari Coco, umeikuta Salendar
 
Wakuu NGOMA HAINA MWENYEWE,,,, usijione SHUJAA KUKOSA NGOMA,,,na USIMUONE MJINGA ALIYEPATA NGOMA,,,kikubwa ni KUSHUKURU MUNGU,,,,WENGI wetu TUMEOA,,au WAPO WALIOOLEWA,,je UNAJUWA ANACHOKIFANYA MWENZIO UKIWA MBALI NAE? tena natoa USHAHIDI ,,,HAKUNA MWANAMKE mwepesi kumtafuna kama mke wa MTU,,,JE TUTAPONA KWELI?, tuwe na SITARA KWA WAATHIRIKA WAKUU,,,
 
Yani nyie wote hamvaagi wala kutumia condom, halaf mnamsema mwenzenu, haya buana
 
Hakuna cha uganga wala uganguzi. Ni mambo ya nyakati vs mipango. Usanii uko sensitive sana na nyakati na matumizi. Ukipata leo kama hukupanga mipango ya kesho muda wako wa kuvuma ukiisha utabaki kuwa ombaomba tu!
 
kama Diamond atakavyokuja kuwa omba omba
 
kama Diamond atakavyokuja kuwa omba omba
Siyo Diamond tu ila ni msanii yoyote asiyepanga mapato na matumizi! Kama na yeye hayuko makini basi hatasalimika. Tena nafuu mwanamme lakini hawa dada zetu wanaotegea kuishi kwa ruzuku za wanaume huku wakitumia usanii kama kisingizio mara wanapoanza ku expire ni hatari kabisa.
 
[emoji106]
 
Hama kwa dada yako kapange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…