Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Wanaume wa siku hizi mnapenda ndom kwani....Wote hao tulupiga dry chama kwani😪😪?
E Mungu tunusuru waja wako,
🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa siku hizi mnapenda ndom kwani....Wote hao tulupiga dry chama kwani😪😪?
E Mungu tunusuru waja wako,
🙏
Jidanganye.Mie kwangu imekatika maana baada ya pale mara kibao tu nei nei ha ha ha ha ha so npo vzr. Ila yule uliefumwa nae mune wa mzungu labda maana sio siku nyingi
Ha ha ha ha ha weweeeee acha kuntisha mie nna..... ProofJidanganye.
Hujui yule demu wako cheupe nampelekaga wapi.
Umeikimbia bahari Coco, umeikuta Salendar
Hakuna cha uganga wala uganguzi. Ni mambo ya nyakati vs mipango. Usanii uko sensitive sana na nyakati na matumizi. Ukipata leo kama hukupanga mipango ya kesho muda wako wa kuvuma ukiisha utabaki kuwa ombaomba tu!Tokea tukio hilo ndipo nilipoamini kwambabaadhi ya wasanii wanatumia ndumba kutuchota tuwapende na wavume,alikuwa juu sana mpaka mganga yule alipojitokeza na kudai kudhulumiwa na muumin na kuhaidi atamfelisha,na kweli mambo ya muumini kuanzia pale yalienda kombo mpaka leo akapotea jumla.
Sipendi ngono,.napenda tendo la NDOA.Kwani wewe hupenda
Kuchunga tabia ndio kujithibiti kwenyewe,.Hakuna asiyependa ngono... labda hanithi...sema tujidhibiti
Lakini si lilelile au?Sipendi ngono,.napenda tendo la NDOA.
[emoji106]Naona mgonjwa ashaanza kunangwa, jamani tusinyanyue midomo hata sisi hatujui hatima zetu. Mtakieni siha njema mengine Mungu ataamua.
Kuna tofauti...kubwa sanaa!!!Lakini si lilelile au?
[emoji106]Ukimtegemea mwanadamu atakuangusha tuu mtegemee Mungu
kama Diamond atakavyokuja kuwa omba ombaHakuna cha uganga wala uganguzi. Ni mambo ya nyakati vs mipango. Usanii uko sensitive sana na nyakati na matumizi. Ukipata leo kama hukupanga mipango ya kesho muda wako wa kuvuma ukiisha utabaki kuwa ombaomba tu!
Siyo Diamond tu ila ni msanii yoyote asiyepanga mapato na matumizi! Kama na yeye hayuko makini basi hatasalimika. Tena nafuu mwanamme lakini hawa dada zetu wanaotegea kuishi kwa ruzuku za wanaume huku wakitumia usanii kama kisingizio mara wanapoanza ku expire ni hatari kabisa.kama Diamond atakavyokuja kuwa omba omba
Ni marufuku wasanii kutumika kwenye kampeni za ccm - Dr Bashiru Allykama Diamond atakavyokuja kuwa omba omba
[emoji106]Siyo Diamond tu ila ni msanii yoyote asiyepanga mapato na matumizi! Kama na yeye hayuko makini basi hatasalimika. Tena nafuu mwanamme lakini hawa dada zetu wanaotegea kuishi kwa ruzuku za wanaume huku wakitumia usanii kama kisingizio mara wanapoanza ku expire ni hatari kabisa.
Hama kwa dada yako kapangeKuna swali nimeulizwa hapa sasa hivi na Mpwa wangu kuwa UKIMWI / DALLY KIMOKO uligundulika lini duniani na ni Mwafrika gani wa Kwanza kutoka Afrika ya Mashariki aligundulika nao nimeshindwa kumjibu na ili ' Kumzuga ' nimejifanya nimetoka nje naongea na Simu kumbe sijui jibu lake na bado amekaa Sebuleni ananisubiria nimpe jibu kwani anasema hilo Swali anahisi Kesho litakuwepo katika Mtihani wao wa Kumaliza darasa la Saba. Naombeni msaada jamani ili nisiumbuke!