Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali.
Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata nafasi za uongozi kama Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi au kupewa nafasi ya kugombea Ubunge na nafasi zote hakupata.
Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata nafasi za uongozi kama Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi au kupewa nafasi ya kugombea Ubunge na nafasi zote hakupata.