Kwa yaliyotokea 29/10, mtu yoyote, bila kujali chama ama historia yake ya nyuma, akijitokeza kulaani tena kwa vitendo na kuukana utawala wa Samia, kudai uchunguzi huru na adhabu kwa wauaji, anahitaji pongezi kubwa. Huyu ni binadamu aliyekamilika, mwenye utu, anayejali wenzake. Hili tu linatosha mimi binafsi kumsamehe Msigwa kwa yale aliyotenda na kusema. Kwa upande mwingine, wenye mashaka au chuki naye, nitawaelewa vile vile ila tujipe muda tuone mwisho wake.Msigwa ameyataka mwenyewe. Sioni kama kuna sababu ya watu kumtetea
Mimi namuongelea Msigwa kwenye kipengele cha yeye kuhama CHADEMA, huku akitoa maneno ya shombo! halafu baadaye kurejea tena CHADEMA, kwa kisingizio cha machafuko ya 29 Oktoba, 2025!Kwa yaliyotokea 29/10, mtu yoyote, bila kujali chama ama historia yake ya nyuma, akijitokeza kulaani tena kwa vitendo na kuukana utawala wa Samia, kudai uchunguzi huru na adhabu kwa wauaji, anahitaji pongezi kubwa. Huyu ni binadamu aliyekamilika, mwenye utu, anayejali wenzake. Hili tu linatosha mimi binafsi kumsamehe Msigwa kwa yale aliyotenda na kusema. Kwa upande mwingine, wenye mashaka au chuki naye, nitawaelewa vile vile ila tujipe muda tuone mwisho wake.
Swali lako kuhusu kupata uteuzi ni vigumu kulijibu. Ila kulingana na maelezo yake, kama siyo 29/10. Hapo ndipo ulipo uzito haswa..... kuonyesha kuwa jambo kubwa kama mauaji ya 29/10 linapaswa kukubadiisha hata kama ulikuwa matumaini gani ya kisiasa.Mimi namuongelea Msigwa kwenye kipengele cha yeye kuhama CHADEMA, huku akitoa maneno ya shombo! halafu baadaye kurejea tena CHADEMA, kwa kisingizio cha machafuko ya 29 Oktoba, 2025!
Kwa hiyo maana yake hayo machafuko yasingetokea, au angepewa ukuu wa Wilaya au cheo chochote ndani ya ccm, angerudi CHADEMA?