Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Takataka huyu! Hili nalo liko hapa kwa maslahi! Unadhani ccm ikitoka madarakani litabwabwaja haya!Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali.
Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata nafasi za uongozi kama Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi au kupewa nafasi ya kugombea Ubunge na nafasi zote hakupata.
Ally Hapi yupo sahihi 100%🔥Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali.
Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata nafasi za uongozi kama Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi au kupewa nafasi ya kugombea Ubunge na nafasi zote hakupata.
Vyeo havitolewi kama peremendeSasa Kwa nini hamkumpa cheo!
Hivi huyu Lil Nigga ndo alisema atawashughulikia wastaafu wanao washwawashwa!!Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali.
Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata nafasi za uongozi kama Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi au kupewa nafasi ya kugombea Ubunge na nafasi zote hakupata.
Ukweli mtupu. Naunga hojaKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali.
Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata nafasi za uongozi kama Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi au kupewa nafasi ya kugombea Ubunge na nafasi zote hakupata.
Hapa kakngea ukweli tupuKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali.
Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata nafasi za uongozi kama Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi au kupewa nafasi ya kugombea Ubunge na nafasi zote hakupata.
Wapo wengi wanaohitaji vyeoSasa Kwa nini hamkumpa cheo!
Tufukue nyuzi zako zilizojaa matakataka ulipokuwa unamsifu wakati ule? Uliyasema haya hapo kabla?Mheshimiwa katibu Mkuu wetu wa Jumuiya ya Wazazi kaongea ukweli mchungu kabisa ambao Ndio Uhalisia wenyewe wa Peter Msigwa Dalali na Mjasiriasiasa na mchumia tumbo