Ally Hapi, Paul Makonda, Le Mutuz ni kati ya vijana wa CCM ninaowakubali sana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Hakika hawa vijana ni mfano wa kuigwa wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa dar kijana machachari paul makonda ,wamekuwa wakinivutia sana pia na kijana william malecela au lemutuz nae ni mfano wa kuigwa na vijana wengi ambao wanalialia kuajiriwa badala ya kujiajiri
 
Fyokofyoko baada ya kustaafu[emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Kwa hiyo lemutuzz ni kijana?
 
Njaa tuuh, hamna lolote..!
 
Kuna watu hawajui kusoma lakini pia picha zinawashinda
Yaani kwa kifupi wamenyimwa uelewa
Le mutuz nae ni kijana?
 
Le Mtutuz ni kijana toka lini? Mtu aliye rika moja na JPM ni kijana huyo? Yaani mnaona kabisa mtetea anacheza na vifaranga mnamwita na yeye kifaranga! Come on get some eye testing.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…