Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ali Hapi akizungumza katika hafla ya mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM amesema kuwa CCM imeingia kwenye mapambano, hivyo upinzani wasitegemee huruma.
"Naomba wakati huu ambao tunaingia kwenye mapambano niwaambie wale jamaa wa upande wa pili (vyama vya upinzani) ambao kazi yao ni kelele tu, Rais amewatengenezea mazingira mazuri wanafanya mikutano, wanafanya shughuli zao nyingine, wamepewa ruzuku lakini shukrani hawana, na niliwasikia wengine wanalalamika kwenye uchaguzi mdogo wanasema kwamba mbona hawajatuachia, yaani CCM ifanye kazi ya kuwaachia kata kweli?
Wasitegemee huruma uchaguzi ni kazi na malengo yetu ni kuendelea kushika dola, na sisi tuko tayari kuendelea kukiendesha chama chetu, muda wa kuoneana huruma umekwisha, mikutano wote tunafanya, kujipanga wote tunajipanga habari za kubebwa hazipo, twende kwa wananchi tukatafute kura, twende kwa wananchi tukarejeshe na kuongeza heshima ya ushindi wa CCM"

Mtu aliyetoka kwenye kulima nyanya anajua nn,mlima nyanya na viazi hajui siasa,ndio maana anawataja wapinzani na hajui kwamba trip hii wapinzani wako ndani ya CCM.Alli hapi ameshapwaya tayari na hajui kinachoendelea angerudishwa akaendelee kulima nyanya tu.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ali Hapi akizungumza katika hafla ya mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM amesema kuwa CCM imeingia kwenye mapambano, hivyo upinzani wasitegemee huruma.
"Naomba wakati huu ambao tunaingia kwenye mapambano niwaambie wale jamaa wa upande wa pili (vyama vya upinzani) ambao kazi yao ni kelele tu, Rais amewatengenezea mazingira mazuri wanafanya mikutano, wanafanya shughuli zao nyingine, wamepewa ruzuku lakini shukrani hawana, na niliwasikia wengine wanalalamika kwenye uchaguzi mdogo wanasema kwamba mbona hawajatuachia, yaani CCM ifanye kazi ya kuwaachia kata kweli?
Wasitegemee huruma uchaguzi ni kazi na malengo yetu ni kuendelea kushika dola, na sisi tuko tayari kuendelea kukiendesha chama chetu, muda wa kuoneana huruma umekwisha, mikutano wote tunafanya, kujipanga wote tunajipanga habari za kubebwa hazipo, twende kwa wananchi tukatafute kura, twende kwa wananchi tukarejeshe na kuongeza heshima ya ushindi wa CCM"
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ali Hapi akizungumza katika hafla ya mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM amesema kuwa CCM imeingia kwenye mapambano, hivyo upinzani wasitegemee huruma.
"Naomba wakati huu ambao tunaingia kwenye mapambano niwaambie wale jamaa wa upande wa pili (vyama vya upinzani) ambao kazi yao ni kelele tu, Rais amewatengenezea mazingira mazuri wanafanya mikutano, wanafanya shughuli zao nyingine, wamepewa ruzuku lakini shukrani hawana, na niliwasikia wengine wanalalamika kwenye uchaguzi mdogo wanasema kwamba mbona hawajatuachia, yaani CCM ifanye kazi ya kuwaachia kata kweli?
Wasitegemee huruma uchaguzi ni kazi na malengo yetu ni kuendelea kushika dola, na sisi tuko tayari kuendelea kukiendesha chama chetu, muda wa kuoneana huruma umekwisha, mikutano wote tunafanya, kujipanga wote tunajipanga habari za kubebwa hazipo, twende kwa wananchi tukatafute kura, twende kwa wananchi tukarejeshe na kuongeza heshima ya ushindi wa CCM"
yaan chama kinalenga kujizatiti kushika dola, kuunda serikali, kuwaongoza na kuwatumikia wanainchi, halafu eti kisikilize chama kingine kinacho lalamika kuibiwa kura wakati hakifanyi mikutano, hakina sera na wala hakikubaliki kwa wanainchi?π
CCM haiwez kuona haya, wala aibu kuomba kura hata kwa kugalagala kwenye matope kuwaomba wanainchi kukichagua tena na tena kuwatumikia π
vyama vingine si wanashangaa na kuona ni maigizo?π