Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Salum Hapi, amesema ukizungumzia yale ambayo yamefanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan katika afya ni mengi sana na kwenye elimu ambapo imejenga shule mbalimbali za msingi na Sekondari.
Akizungumza katika mjadala ambao umewakutanisha viongozi wa vyama mbalimbali na Serikali Jijini Dar es Salaam, Alli Hapi amesema Serikali imejenga shule za msingi mpya zaidi ya elfu 3000,shule za msingi mpya zaidi ya 1200,madarasa mapya zaidi ya elfu 36.
"Hatuna tena habari ya tofali katika nchi hii na aliyekomesha jambo hili ni Dkt Samia Suluhu Hassan, nilikuwa Mkuu wa Wilaya nilikuwa Mkuu wa Mkoa najua tulikuwa tunachanga michango ya kujenga madawati, watoto wanafaulu darasa la saba vyumba vya kwenda form one havitoshi"
"Lakini tumejenga leo, nimefanya ziara nchi hii kuna shule zina madarasa ya ziada yanasubiri wanafunzi wapevuke wafikie umri wa kusajiliwa kwenda shule, madarasa yana tiles,madarasa yana gypsum na madarasa yana vioo, tulishatoka huko kwenye kukamata Kuku wa wanyalukolo ili ukachangie ujenzi wa shule" Amesema Ally Hapi
Soma pia

- GE2025 - Ally Hapi: Siku 100 za Rais Samia Zitamaliza Changamoto za Bima ya Afya
- GE2025 - Ally Hapi: Serikali Itabeba Gharama Matibabu ya Figo, Moyo, Kisukari na Cancer ndani ya siku 100 za Uongozi wa CCM