Zama hizi 2025 tunajivunia kujengwa kwa vyoo??.
Haaha huyu rais kilaza pamoja na genge lake hivi huwa wanaishi zama zipi?.
Basi huwa hata hawajifunzi kwa yanayoendelea ulimwenguni watambue ni kipi cha kufanya na kipi cha kideal nacho according to mahitaji ya sasa na baadae?.
TANZANIA maendeleo tuyasahau labda vizazi 5 vijavyo ambavyo vitatutukana kwa upuuzi wetu, na nina uhakika baadhi ya masalia ya vizazi vya hawa wanasiasa vitaikimbia nchi.