Ally Kamwe, Shabiki Simba maarufu kama ‘Dokta Moo’ wapigwa faini ya shilingi milioni tano, Ahmed Ally aponea chupuchupu

Huyo Mohammed sidhani kama atalipa na hawawezi kumfanya kitu,ni ngumu pia kumzuia asiende uwanjani maana mifumo yetu ya kuingia uwanjani hawana data za mashabiki ukiwa na tiket unazama tu uwanjani
 
Anzeni michango kumlipia msemaji wenu roporopo. Na hapo wamemstahi tu!
Acha kutetea ujinga. Hata msemaji wenu Ahmed Ally naye ni wale wale tu. Na ndiyo maana mtu kama mimi siku zote nimekuwa nikipendekeza usemaji wa timu uwe chini ya benchi la ufundi la timu husika Badala ya kuteua watu kwa ajili ya vijembe.
 
ajabu kosa hujalisema!

Huyo shabiki ni yupi?ni yule wa Yanga anajifanya ni Simba na kuikashifu Simba kwenye media?

Kama mashabiki wanapigwa faini siku hizi basi naacha kushabikia kabumbu.

TFF ya Karia imejaa vilaza, wachumia tumbo na wajinga tu.
Mkuu huyo jamaa ni chawa tulishaleta uzi humu Simba kuna chawa, wanasafiri kila timu inapokwenda, wanalipiwa hadi bando kuandika uzushi mtandaoni
Huyo Mohammed sidhani kama atalipa na hawawezi kumfanya kitu,ni ngumu pia kumzuia asiende uwanjani maana mifumo yetu ya kuingia uwanjani hawana data za mashabiki ukiwa na tiket unazama tu uwanjani
Pesa anayo mkuu, tangu akiwa chuo alikuwa tajiri anaishi ki superstar huko gamboshi, alikuwa maarufu sana baadae akakimbilia daslamu kama chawa wa simba
Hivi huyo jamaa mnamjua tabia yake?

Yani katika hili amestahili kabisa wala siwezi kuwalaumu TFF.

Jamaa hana control na mdomo wake he deserves it.
 
Mkuu huyo jamaa ni chawa tulishaleta uzi humu Simba kuna chawa, wanasafiri kila timu inapokwenda, wanalipiwa hadi bando kuandika uzushi mtandaoni

Pesa anayo mkuu, tangu akiwa chuo alikuwa tajiri anaishi ki superstar huko gamboshi, alikuwa maarufu sana baadae akakimbilia daslamu kama chawa wa simba

Hahaha 😁😂
 
Back
Top Bottom