Ally Kamwe: Simba inaenda kukata moto

Ally Kamwe: Simba inaenda kukata moto

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Nimesikia maneno maneno yameanza, sijui Kombe dogo, sijui vipi, sisi ambao tumesoma sana Dini hiyo ni ishara ya mwanadamu anayeelekea Sakaratul Maut, yaani mwanadamu anaelekea kwenye siku zake za mwisho, Pumzi yake ya mwisho.

“Tukawatazama tukasema hee mashindano haya si ndio mlichoma uwanja nyie, mashindano haya yaliwapa goli bora wakalala wiki nzima wanalizungumzia tukasema hii dalili ya Sakaratul Maut.

“Kila mtu amalize shughuli aliyoianza walianza shughuli yao na Mwarabu wamalizane nao, tumeanza na Mnigeria tutamalizana nao tusizungumziane.

“Kombe dogo sijui kubwa ni la kwetu, kila mtu acheze Kombe lake, hili Kombe la Shirikisho ni la kwetu na tutalibeba,”
Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.

#WasafiSports

NB: Wanasimba tuloge sana siku isifike coz ...tukitaka tutapigwa ....tusipotaka tutapigwa[emoji23]
1682422665707.jpg
 
Ahhaaaaaaaaa
“Nimesikia maneno maneno yameanza, sijui Kombe dogo, sijui vipi, sisi ambao tumesoma sana Dini hiyo ni ishara ya mwanadamu anayeelekea Sakaratul Maut, yaani mwanadamu anaelekea kwenye siku zake za mwisho, Pumzi yake ya mwisho.

“Tukawatazama tukasema hee mashindano haya si ndio mlichoma uwanja nyie, mashindano haya yaliwapa goli bora wakalala wiki nzima wanalizungumzia tukasema hii dalili ya Sakaratul Maut.

“Kila mtu amalize shughuli aliyoianza walianza shughuli yao na Mwarabu wamalizane nao, tumeanza na Mnigeria tutamalizana nao tusizungumziane.

“Kombe dogo sijui kubwa ni la kwetu, kila mtu acheze Kombe lake, hili Kombe la Shirikisho ni la kwetu na tutalibeba,”
Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.

#WasafiSports

NB: Wanasimba tuloge sana siku isifike coz ...tukitaka tutapigwa ....tusipotaka tutapigwa[emoji23]View attachment 2599322
 
Mtoto anabana pua hadi raha.
 
Umeniacha hoi [emoji23][emoji23][emoji23] kwenye Hilo neno Sakaratul, aseee! Heshima [emoji120]
 
Back
Top Bottom