SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Kwahiyo anamjibu Manara aliyesema hilo ni Kombe la Ma-looser au??? 😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule muhaho wa kukaribia kukata roho.Mkuu.....Kwani maana yake nn
Maneno ya mashabiki vijiweni yanasemwa na Msemaji rasmi?“Nimesikia maneno maneno yameanza, sijui Kombe dogo, sijui vipi, sisi ambao tumesoma sana Dini hiyo ni ishara ya mwanadamu anayeelekea Sakaratul Maut, yaani mwanadamu anaelekea kwenye siku zake za mwisho, Pumzi yake ya mwisho.
“Tukawatazama tukasema hee mashindano haya si ndio mlichoma uwanja nyie, mashindano haya yaliwapa goli bora wakalala wiki nzima wanalizungumzia tukasema hii dalili ya Sakaratul Maut.
“Kila mtu amalize shughuli aliyoianza walianza shughuli yao na Mwarabu wamalizane nao, tumeanza na Mnigeria tutamalizana nao tusizungumziane.
“Kombe dogo sijui kubwa ni la kwetu, kila mtu acheze Kombe lake, hili Kombe la Shirikisho ni la kwetu na tutalibeba,”
Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.
#WasafiSports
NB: Wanasimba tuloge sana siku isifike coz ...tukitaka tutapigwa ....tusipotaka tutapigwa[emoji23]View attachment 2599322
Delicious au futbalNi professional huyo
Hawa hata kuzika haina haja, tunaacha waliwe tu na mafisi wa huko uarabuniTunazika au
Hapana mkuu ..huyu ni mchambuzi by professionalAlly kamwe BALEHE BADO INAMSUMBUWA.
akikuwa ataacha upuuzi.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app