Pre GE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mjinga wewe, mbunge ni mwakilishi wa wananchi ndiyo maana hapo kuna DC/DAS/DED hawa ni wawakilishi wa serikali, mshamba mkubwa usiye na akili timamu, hivi chuo cha utumishi Tabora ulikuwa unasoma nini?
Sasa hapo ulikuwa unajibu swali lipi uliloulizwa? Ndio maana nasema kuwa wewe ni 0 kabisa kichwani.
 
Labda wana Nkadi wawe wana tamani viuno vya Keiss bungeni
 
Mwanae wa kiume yupo hivi hivi machachari kweli kweli nimesoma nae
 
Bungeni kuna nini?
Seriously?
Mishahara yao unaiona na ukiwa Mbunge una onana na mawaziri wote na viongozi wakubwa
Hapo utakosa madili?
Baada ya miaka mitano unapewa lump sum halafu uache kutafuta mganga au hata kumtoa roho mwenzio?
 
Hilo li takataka
 
Nafasi ya ubunge ni ya uwakilishi na sio utendaji hakuna mbunge anayeleta maji umeme wala barabara jimboni hizo kazi ni za watendaji kama ma ded ras na watu wengine hii notion kwamba mbunge ni mtendaji ni notion ya uongo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…