Pre GE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mjinga wewe, mbunge ni mwakilishi wa wananchi ndiyo maana hapo kuna DC/DAS/DED hawa ni wawakilishi wa serikali, mshamba mkubwa usiye na akili timamu, hivi chuo cha utumishi Tabora ulikuwa unasoma nini?
Sasa hapo ulikuwa unajibu swali lipi uliloulizwa? Ndio maana nasema kuwa wewe ni 0 kabisa kichwani.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo.

Amesema mbunge aliyepo kwa sasa ameshindwa kutekeleza miradi mbalimbali ambayo yeye alikuwa ameibuni kwa ajili ya wana Nkasi.

Itakumbukwa ya Kuwa Mbunge huyo wa Zamani aliyehudumu kwa vipindi vitatu alidondoshwa chini na Mwana Mama kutoka CHADEMA Aida Khenani aliyepata kura elfu 21,229 ,huku Ally Keissy kutoka CCM akipata kura Elfu 19,972.

Mbunge huyo pia anakumbukwa kwa kauli zake na matukio yake mbalimbali ikiwepo yale ya kutifuana kikauli na wabunge wa kutokea Zanzibar mpaka kufikia hatua ya kunusurika kupigwa ngumi . Lakini pia amewahi kuwa gumzo na kuleta mijadala mitaani mikali sana juu ya kutaka na kupendekeza kubadilisha katiba ili kumuongezea muda wa kuongoza na kutawala Rais.kwa kauli kuwa katiba siyo msaafu au Biblia.

Nini Maoni yako juu ya Nia ya Mheshimiwa Mstaafu wa Ubunge kutaka kurejea tena Bungeni.Una mshauri agombee au awaachie wengine kutoka CCM waje na mawazo mapya na nguvu mpya ili yeye abakie tu kama mshauri. Ni kwanini mtu akiingia bungeni hataki kukubali kukaa pembeni ili kupisha wengine kama ilivyo kwenye Urais. Bungeni kuna nini ndugu zanguni ambacho wengine hawataki kuwapa hata nafasi vijana ili wakapeleke mawazo yao huko.

Nauliza tu ndugu zanguni kwa lengo zuri tu.Hii hapa ni picha yake wakati huo akiwa BungeniView attachment 3114042

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Labda wana Nkadi wawe wana tamani viuno vya Keiss bungeni
 
Mwanae wa kiume yupo hivi hivi machachari kweli kweli nimesoma nae
 
Bungeni kuna nini?
Seriously?
Mishahara yao unaiona na ukiwa Mbunge una onana na mawaziri wote na viongozi wakubwa
Hapo utakosa madili?
Baada ya miaka mitano unapewa lump sum halafu uache kutafuta mganga au hata kumtoa roho mwenzio?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo.

Amesema mbunge aliyepo kwa sasa ameshindwa kutekeleza miradi mbalimbali ambayo yeye alikuwa ameibuni kwa ajili ya wana Nkasi.

Itakumbukwa ya Kuwa Mbunge huyo wa Zamani aliyehudumu kwa vipindi vitatu alidondoshwa chini na Mwana Mama kutoka CHADEMA Aida Khenani aliyepata kura elfu 21,229 ,huku Ally Keissy kutoka CCM akipata kura Elfu 19,972.

Mbunge huyo pia anakumbukwa kwa kauli zake na matukio yake mbalimbali ikiwepo yale ya kutifuana kikauli na wabunge wa kutokea Zanzibar mpaka kufikia hatua ya kunusurika kupigwa ngumi . Lakini pia amewahi kuwa gumzo na kuleta mijadala mitaani mikali sana juu ya kutaka na kupendekeza kubadilisha katiba ili kumuongezea muda wa kuongoza na kutawala Rais.kwa kauli kuwa katiba siyo msaafu au Biblia.

Nini Maoni yako juu ya Nia ya Mheshimiwa Mstaafu wa Ubunge kutaka kurejea tena Bungeni.Una mshauri agombee au awaachie wengine kutoka CCM waje na mawazo mapya na nguvu mpya ili yeye abakie tu kama mshauri. Ni kwanini mtu akiingia bungeni hataki kukubali kukaa pembeni ili kupisha wengine kama ilivyo kwenye Urais. Bungeni kuna nini ndugu zanguni ambacho wengine hawataki kuwapa hata nafasi vijana ili wakapeleke mawazo yao huko.

Nauliza tu ndugu zanguni kwa lengo zuri tu.Hii hapa ni picha yake wakati huo akiwa BungeniView attachment 3114042

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hilo li takataka
 
Kitu ninachompendea huyu ally kessy ni kuwa kwenye mambo ya muungano Huwa hamung'unyi maneno.Aliwahi kuwaambia ukweli wazanzibari kuwa wananufaika na muungano lakini watanganyika hatufaidiki chochote.mfano rais wa Sasa ni mzanzibari ambaye anauza hovyo Mali zetu za Tanganyika na kufadhili magenge ya kihalifu ya kuteka wapigania haki wa Tanganyika kama soka,kibao na wengine mamia Kwa mamia fullstop
Nafasi ya ubunge ni ya uwakilishi na sio utendaji hakuna mbunge anayeleta maji umeme wala barabara jimboni hizo kazi ni za watendaji kama ma ded ras na watu wengine hii notion kwamba mbunge ni mtendaji ni notion ya uongo sana.
 
Back
Top Bottom