Tano tena kwa Kessy. Hapa aliwanyoosha.Tujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje Wizara zisizo za muungano zikijadiliwa
Mfano wizara ya Afya
Wizara ya Kilimo
View attachment 2978781
Yuko sahihi alichosemaTujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje Wizara zisizo za muungano zikijadiliwa
Mfano wizara ya Afya
Wizara ya Kilimo
View attachment 2978781
wabunge wa Zanzibar wawe wanatolewa Nje, wizara zisizo za Muungano zikiwa zinahadiliwa
Tuanzie kwenye uraisi, ile ni nafasi ya Wa Bara, cha ajabu tunaongozwa na mzanzibari, shida ndo inaanzia hapo, kina lukuvi na Ndugai walikuwa sawa kabisa kuipigania nafasi yetu. Hatupendi na sio sawa kabisa kuongozwa na wazanzibari watu ambao tunawasaidia kila kitu.
Mzee wa "awake asitake, alazimishwe"Huyo ndiye alitoa Kwa mbwembwe jpm aongezewe muda wa kutawala, teeth wakanyakuwa jimbo.
[emoji16][emoji16]kwanini watanganyika wasitoke wao nje wakatafute sehemu ya kujadili mambo yao? kwanini watumie bunge la Jamhuri ya Muungano kujadili mambo yao? Mbona zanzibar wao wametafuta pa kwao
Hii video ni nzuri sana.Tujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje Wizara zisizo za muungano zikijadiliwa
Mfano wizara ya Afya
Wizara ya Kilimo
View attachment 2978781
Ila kaongea points, japo zaumiza kuziskia...Tujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje Wizara zisizo za muungano zikijadiliwa
Mfano wizara ya Afya
Wizara ya Kilimo
View attachment 2978781
Huyu jamaa aliongea facts tupu. Ujinga aliokuwa nao ni ile kutaka Magufuli atawale milele.Tujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje Wizara zisizo za muungano zikijadiliwa
Mfano wizara ya Afya
Wizara ya Kilimo
View attachment 2978781
Hayo yote 9, mwakani anagombea ubunge kilosa.
Ardhi ya Dodoma ipo ndani ya nchi ya Tanganyika, Sasa unataka Wabunge wa Tanganyika waende wapi au nchi gani ili waweze kujadili mambo yao?kwanini watanganyika wasitoke wao nje wakatafute sehemu ya kujadili mambo yao? kwanini watumie bunge la Jamhuri ya Muungano kujadili mambo yao? Mbona zanzibar wao wametafuta pa kwao
Nini?Hayo yote 9, mwakani anagombea ubunge kilosa.