Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

Tuanzie kwenye uraisi, ile ni nafasi ya Wa Bara, cha ajabu tunaongozwa na mzanzibari, shida ndo inaanzia hapo, kina lukuvi na Ndugai walikuwa sawa kabisa kuipigania nafasi yetu. Hatupendi na sio sawa kabisa kuongozwa na wazanzibari watu ambao tunawasaidia kila kitu.
 
wabunge wa Zanzibar wawe wanatolewa Nje, wizara zisizo za Muungano zikiwa zinahadiliwa

kwanini watanganyika wasitoke wao nje wakatafute sehemu ya kujadili mambo yao? kwanini watumie bunge la Jamhuri ya Muungano kujadili mambo yao? Mbona zanzibar wao wametafuta pa kwao
 
Tuanzie kwenye uraisi, ile ni nafasi ya Wa Bara, cha ajabu tunaongozwa na mzanzibari, shida ndo inaanzia hapo, kina lukuvi na Ndugai walikuwa sawa kabisa kuipigania nafasi yetu. Hatupendi na sio sawa kabisa kuongozwa na wazanzibari watu ambao tunawasaidia kila kitu.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano ni nafasi ya wabara? mbona munajisahau kupitiliza wakuu?
 
kwanini watanganyika wasitoke wao nje wakatafute sehemu ya kujadili mambo yao? kwanini watumie bunge la Jamhuri ya Muungano kujadili mambo yao? Mbona zanzibar wao wametafuta pa kwao
[emoji16][emoji16]

Tuendelee kukuna kichwa tutafika tu [emoji16]
 
Hivi kipi ni sahihi kusema Tanganyika ni koloni la Zanzibar au Zanzibar ni koloni la Tanganyika!
 
Wabunge wangekua real, Generous and free kuongea ya moyoni kama hivi kwenye kila sector tungefika mbali.

Mfano. Msukuma yuko na ujinga flan sometimes lkn nampenda kwa kua anajitahidi kusimamia anacho kiamini hata kama ni against chama chake.
 
Tujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje Wizara zisizo za muungano zikijadiliwa

Mfano wizara ya Afya
Wizara ya Kilimo

View attachment 2978781
Hii video ni nzuri sana.

Yaani hawa maCCM ni hatari sana .... yanafikiri yanaweza kuspin mambo kila siku. Hawahawa Wabunge wa CCM na Nape akiwemo, walishangilia sana hiyo hotuba ya Kessy. Leo wanamtupia madongo Lissu.

Hivi kwa akili ya kawaida tu, kati ya Lissu na Kessy ni nani kati yao anaonekana kuamsha chuki kupitia maneno yake....!?
 
kwanini watanganyika wasitoke wao nje wakatafute sehemu ya kujadili mambo yao? kwanini watumie bunge la Jamhuri ya Muungano kujadili mambo yao? Mbona zanzibar wao wametafuta pa kwao
Ardhi ya Dodoma ipo ndani ya nchi ya Tanganyika, Sasa unataka Wabunge wa Tanganyika waende wapi au nchi gani ili waweze kujadili mambo yao?
 
Sio watoke bunge lipangilie ratiba yake wizara za muungano zianze kwanza wakimaliza wasepe wabunge wa tanganyika waendelee
 
Huu muungano bado ni pasua kichwa kwa wengi,ukivunjwa tutapata hasara gani huku bara[Tanganyika]?
 
Back
Top Bottom