BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Tunaenda na ile ile kauli nzuri na maarufu ya "Mwamba tuvushe"Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.
View attachment 1473934
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
watafanya unafikiri wanashindwa,kama akinana wanaomba msamahaa unategemea niniWasithubutu kufanya huo upuuzi wanaofikiria
Mwache amalizie miradi yakeAmefanya aliyoyafanya kwa kuwa alipaswa kuyafanya. Muda ukiisha akapumzike awaachie wengine. Kama madaraka ni matamu akaendelee kuwa mbunge wa chato huenda rais ajae akamteua kuwa waziri wa ujenzi tena. Ccm tutoleeni huu upuuzi wenu mazafaqa
ni vyema zaidi akiyakamilisha ndani ya muda wake wa kikatiba.Aliyoyaanza na anayoyatekeleza Rais Magufuli hakuna mwenye uthubutu wa kuyaendeleza. Ni vema tukamuongezea muda ili ayakamilishe. Hoja nzuri sana... Kessy ni hazina kwa Taifa hili.
Kwani CDM ni nchi?Kama Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu kwanini tusiwe na Rais wa kudumu[emoji16]
Hayati baba wa Taifa aliwahi kusema kuna watu wanamwambia asing'atuke eti watanzania wana muhitaji kumbe wao ndio wanamuhitaji ndio huyu mzee"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Uchu wa madaraka anao Mbowe,Lipumba,Mbatia,Mrema hawataki kuachia kiti
Tena mambo makubwa mno.kuna mambo yatamuingiza Rais Magufuli kwenye historia ya taifa hili la Tanzania.Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
Tofauti ni kwamba Magufuli anafanya mambo mukubwa sana ya maendeleo.wakati akina Mbowe na wenzie wanafubaza na kuuwa taasisi zao na ubadhilifu wa pesa za vyama vyao.Huyu anayetaka kuongezewa ana tofauti gani na wao?
JPM anafanya kazi nzuri, sawa, ila la kuwa rais wa maisha sijui kama mnaelewa maana yake. Mana yake atakuwa rais hadi anakufa yaani anafia kwenye kiti cha urais, Hivyo na huyo atakayefuata atakuta katiba inayomruhusu kuwa rais wa maisha - ataifuata hiyo; je mnajua atakuwa rais wa namna gani? Labda itungwe katiba itakayosema JPM peke yake atakuwa rais wa maisha lakini watakaofuatia wawe wa vipindi viwili viwili! Na ikishapitishwa hivyo hakuna haja ya kupoteza gharama nyingi kwenye uchaguzi kila miaka mitano.Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Tofauti ni kwamba Magufuli anafanya mambo mukubwa sana ya maendeleo.wakati akina Mbowe na wenzie wanafubaza na kuuwa taasisi zao na ubadhilifu wa pesa za vyama vyao.
Bado kidogo utateliwa kuwa DC.nikisoma nyuzi zako huwa najiuliza ulisoma shule gani ya sekondari ,kidato Cha nne,na Cha sita,kabla hujajiunga na chuo .
Hakuna Muislam atakubali upumbavu huu.Watanzania hilo bomu mnalotaka kulitengeneza ni zaidi ya bomu la NYUKLIA.
kama watangulizi wake wangefanya haya anayotaka kufanya yeye.
Leo hii TUSINGEMJUA MAGUFULI.
rais angekuwa mwinyi,mkapa,au kikwete.
Hili jaribio mnalotaka kulifanya ni baya na Halifai.