Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Huyo mzee sijui huwa anajisikiaje anapokumbuka maneno yake ya kujiweka mbali na Mungu
Ukute anaenda msikitini anasali kabisa daa
 
Usimshangae peke yake, mshangae na Ndugu gay kwani ndio alikuwa ana mchombeza huku akimwambia hilo litakuwa tuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kweli wapo wengi mkuu hata Kabudi na Kangi Lugola pia
Walimuita majina mengi mpaka mungu
Mtu mzima na akili zake anamsifia binadamu kwa cheo alichopewa

Sijui wakikumbuka ujinga wao wanajionaje
 



"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).

Spika Ndugai ajibu hivi

“Mheshimiwa Keissy ngoja twende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Kessy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai


Wanasema walitishiwa usalama ikabidi wamsifie Kuhani ili kujinusuru
 
No comment.
Screenshot_2023-09-10-21-03-54.jpg
 
Kwenye kundi la watu walio kashfu kumfananisha na Yesu/ mungu huyo Dikteta wa Chato ni pamoja na;
1. Kangi Lugola
2. Aggrey Mwanri
3. Pro Kabudi
4. Shehe Alhadi wa Bakwata Dar

Na kuna wale walio mpigia debe aendelee kutawala baada ya kipindi chake kuisha Ni;
1. Juma Nkamia
2. Ally Kessy
3. Job Ndugai
4. Deo Sanga

Waliosaidia kuiba uchaguzi wa 2020;
1. Jaji Kaijage
2. Mkurugenzi Mahera
3. Diwani Athman
4. Wakurugenzi wa Halmashauri
5. Ma DSO wa wilaya zote
Nawakumbusha tu ili ikifika siku ya siku itabidi watueleze kwa nini walimkufuru Mungu na kuwadharau Watanzania wengine wote.
 
Back
Top Bottom