Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Wwapi nimepinga kuweka ubaya wa Magu?

Mkuu, unajua kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa mimi ni mmoja wa watu walio mstari wa mbele kupinga ubaya wa Magu? Kuanzia alivyokuwa hai mpaka kesho?

Unaelewa nuanced conversation ni nini?
Usemalo ni kweli, shida hatuwezi kaa kimya ikiwa kuna watu wanaendelea kumsifu mtu muovu. Haikuwa shida kukaa kimya, tatizo ni wao.
 
Katika mambo mengi yaliyotawala mitandao ya jamii na Bunge mwaka 2020 ilikuwa ni kuongeza ukomo wa utawala kwenye katiba ili kumuwezesha Magufuli aende beyond 2025. Alisikika Ally Kesi mbunge wa Nkasi wa wakati huo akisema "apende asipende lazima tumuongeze muda". Na Spika Ndugai akamhakikishia Ally Kesi kurudi Bungeni na kuipokea hoja yake.

Angalieni hapa picha za aliyekuwa anapigiwa debe.

View attachment 2197587
MODS MODS MODS!!
Hamjanitendea haki kabisa kwa kuunganisha Uzi wangu na Return Of Undertaker

Thread yangu Ina maudhui tofauti kabisa
 
Usemalo ni kweli, shida hatuwezi kaa kimya ikiwa kuna watu wanaendelea kumsifu mtu muovu. Haikuwa shida kukaa kimya, tatizo ni wao.
Sasa hamuoni kwamba tuongee mambo ya sera na taasisi ili tusirudie utawala kama wa Magufuli badala ya ujinga wa "Magufuli was a walking carcass"?
 
Kuna Nguvu kubwa zaidi ya Raisi..wachumia Tumbo wa Cc hawalijui ili.
 
Ally kessy yuko wapi sahvi

Anafanya nn ?

Nmemkumbuka

Ova
 
Huyu jamaa yupo wapi sahivi au yuko kwake huko nkasi [emoji1]

Ova
 
Back
Top Bottom