Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwanza kabisa, kuwaita wafuasi wa Magufuli "Sukuma Gang" ni ujinga wa ukabila.Yaani tunakoelekea tunakuwa spitting image ya Yule tuliyemchukia,
Maneno ya kijinga ya kashfa,
Ni hao hao Sukuma gang. Keeping his name alive, Kwa kuanzisha nyuzi za kujifanya wanamponda, ili wabakie nyuzi na kumsifia!
Wengi hatuna interest naye kabisaaaah!
Ukiiangalia Kwa jicho la 3, hawa ni walinda legacy hawataki tuache kumzungumzia!
Tupo Wasukuma wengi ambao hatujamkubali Magufuli alivyokuwa hai na hatumkubali sasa alivyokufa.
Tafadhali usihusishe jina la kabila na wafuasi wa Magufuli.
Hagayaaaaaa!