The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Hakuna sheria inayoruhusu raisi kwa katiba kuua ,kama akifanya hivo kaua yy sio uraisi ,so masuala yake ya kuua na kutuma watu walawitiwe ,kuteka ,kutesa tunamdeal yy na likifo lake ,usiuingeze urais hapa .hakuna anaeumia. Mimi nilikuwa mmoja wa wapingaji wakuu wa Magufuli enzi za uhai wake. Lakini kumpinga kwake kulikuwa kwasababu ya Uraisi wake. Sasa si raisi tena na hayuko hai sasa ina maana gani kuendelea kupinga mtu ambae hawezi hata kujitetea.
Baada ya yote yeye pia ni binadamu na ana watu wake wa karibu ambao hawana hatia katika maovu yake lakini kupitia masimango ya watu ambayo baadhi yanakwenda mbali zaidi na kudhalilisha yanawaathiri na wao pia.
Weka mbali uraisi wake na uangalie uungwana wa kibinadamu na uchukulie mathalan ingekuwa ni mzazi wako marehemu anasemwa hivyo, ungechukulia poa pia?
Ooh ndugu zake wanaathilika kuliko wa ben saa nane ile maiti tunakazi nayo kwanza .