Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.

View attachment 1473934
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Tunaenda na ile ile kauli nzuri na maarufu ya "Mwamba tuvushe"
 
Nimeamini kweli mgonjwa
Screenshot_20200610-105958.png
 
Amefanya aliyoyafanya kwa kuwa alipaswa kuyafanya. Muda ukiisha akapumzike awaachie wengine. Kama madaraka ni matamu akaendelee kuwa mbunge wa chato huenda rais ajae akamteua kuwa waziri wa ujenzi tena. Ccm tutoleeni huu upuuzi wenu mazafaqa
Mwache amalizie miradi yake

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Aliyoyaanza na anayoyatekeleza Rais Magufuli hakuna mwenye uthubutu wa kuyaendeleza. Ni vema tukamuongezea muda ili ayakamilishe. Hoja nzuri sana... Kessy ni hazina kwa Taifa hili.
ni vyema zaidi akiyakamilisha ndani ya muda wake wa kikatiba.
 
Wananchi wakati mwingine tunapochagua wawakilishi wetu lazima tutadakari kwa kina, sio kuchagua tu provided anatokea chama cha kijani, wakiambiwa wanasigina katiba wanakuwa mbogo kuwa wanatumiwa na mabeberu.
 
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).

Hayati baba wa Taifa aliwahi kusema kuna watu wanamwambia asing'atuke eti watanzania wana muhitaji kumbe wao ndio wanamuhitaji ndio huyu mzee
 
Huyu anayetaka kuongezewa ana tofauti gani na wao?
Tofauti ni kwamba Magufuli anafanya mambo mukubwa sana ya maendeleo.wakati akina Mbowe na wenzie wanafubaza na kuuwa taasisi zao na ubadhilifu wa pesa za vyama vyao.
 
Wenye masikio mmemsikia Spika wetu jana na baadhi ya Wabunge kuwa Bunge lijalo tutakuwa wenyewe na tutaibadilisha Katiba na kwamba Katiba sio Msaafu.

Binafsi nawatakia kila la heri ila nawakumbusha kuwa Katiba hiyo ndiyo aliyokuwa Anailinda na Kuitetea Hayati Mwl. Nyerere.
 
Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
JPM anafanya kazi nzuri, sawa, ila la kuwa rais wa maisha sijui kama mnaelewa maana yake. Mana yake atakuwa rais hadi anakufa yaani anafia kwenye kiti cha urais, Hivyo na huyo atakayefuata atakuta katiba inayomruhusu kuwa rais wa maisha - ataifuata hiyo; je mnajua atakuwa rais wa namna gani? Labda itungwe katiba itakayosema JPM peke yake atakuwa rais wa maisha lakini watakaofuatia wawe wa vipindi viwili viwili! Na ikishapitishwa hivyo hakuna haja ya kupoteza gharama nyingi kwenye uchaguzi kila miaka mitano.
Naongezea hoja, kwa kuwa wabunge watakuwa wamefanya kazi nzuri nao sheria ibadilishwe wawe wabunge wa maisha, vinginevyo wanaweza kuja wabunge tofauti wakatengua hilo la rais kuwa wa maisha!
 
Je covidi19 ndio mwisho wa udikteta na utawala usiyo na kikomo Afrika? Nadhani covid19 inaweza kumpiga TKO yeyeto ,popote,muda wowote- evidence is overwhelming. God works in mysterious ways.
 
Nimesikia aibu sana kwa lile bunge, lakini muda ni mwalimu mzuri wanachokipigania sasa ivi kitakuja kuwatafuna wao au sio basi wajukuu zao ni swala la muda tu
 
Tofauti ni kwamba Magufuli anafanya mambo mukubwa sana ya maendeleo.wakati akina Mbowe na wenzie wanafubaza na kuuwa taasisi zao na ubadhilifu wa pesa za vyama vyao.

Anafanya kwa mshahara wake?
 
Wasijali wakitaka wabadilishe katiba watawale wao,wakitoka watawale wake zao then watoto wao na vitukuu vyao.

Maana wao ndio wazalendo sana na wenye kujua kutetea wanyonge kwa sana tu.

Tawire.
 
Watanzania hilo bomu mnalotaka kulitengeneza ni zaidi ya bomu la NYUKLIA.
kama watangulizi wake wangefanya haya anayotaka kufanya yeye.
Leo hii TUSINGEMJUA MAGUFULI.
rais angekuwa mwinyi,mkapa,au kikwete.
Hili jaribio mnalotaka kulifanya ni baya na Halifai.
Hakuna Muislam atakubali upumbavu huu.
 
Back
Top Bottom