Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Usimshangae peke yake, mshangae na Ndugu gay kwani ndio alikuwa ana mchombeza huku akimwambia hilo litakuwa tuuHuyo mzee sijui huwa anajisikiaje anapokumbuka maneno yake ya kujiweka mbali na Mungu
Ukute anaenda msikitini anasali kabisa daa
Kweli wapo wengi mkuu hata Kabudi na Kangi Lugola piaUsimshangae peke yake, mshangae na Ndugu gay kwani ndio alikuwa ana mchombeza huku akimwambia hilo litakuwa tuu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
We jamaa!Aombe Mungu awepo maana hana udugu nae, hata Nkuruzinza alitamani kuwepo lakini Mungu ana kazi nae zaidi. Na watu wema namna hii ndo wala hawacheleweshwaji na muumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema walitishiwa usalama ikabidi wamsifie Kuhani ili kujinusuru
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Spika Ndugai ajibu hivi
“Mheshimiwa Keissy ngoja twende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Kessy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Mkuu upo!?Aombe Mungu awepo maana hana udugu nae, hata Nkuruzinza alitamani kuwepo lakini Mungu ana kazi nae zaidi. Na watu wema namna hii ndo wala hawacheleweshwaji na muumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha.Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
inafikirishaRais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
Duhhh....Aombe Mungu awepo maana hana udugu nae, hata Nkuruzinza alitamani kuwepo lakini Mungu ana kazi nae zaidi. Na watu wema namna hii ndo wala hawacheleweshwaji na muumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kundi la watu walio kashfu kumfananisha na Yesu/ mungu huyo Dikteta wa Chato ni pamoja na;No comment. View attachment 2958229