Ally Kiba acha mziki kaimbe kaswida

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Ushauri wa bure nampa mdogo wangu Ally Salehe Kiba bora aache mziki akaimbe kaswida maana hana cha maana anachokiimba zaidi ya kudandia nyota ya Diamond platnumz chibu dangote ukipenda muite Simba vampire

Siku Dai atakapo tangaza kuacha mziki ndio utakao kuwa mwisho wa Ally Kiba kusikika maana siku zote anafanya kazi kwa kupitia mgongo wa Dai na hii ndiyo sababu kuu inayomfanya kiba kutokubali kuvunja uwepo wa team zilizopo (team dai vs team kiba) kwa kuwa anajua kuvunjika kwa team ndio kushuka kwa jina lake kwa kasi na mwisho atakuwa level sawa na wasanii wengine kama vile barnaba na belle 9

Kiba kinachomdanganya ni sauti kumbe wapi maskini ya Mungu hamna kitu hajui kutengeneza ngoma kali licha ya kuwa na sauti nzuri kwa hiyo kwa nampa ushauri popote pale umfikie ya kuwa time yake ya kuacha mziki imewadia bora akaimbe kaswida na kupiga madufu


 
haya, ngoja nisubilie wale team nanihiiii waje hapa kuchangia.
napita tu 😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Maisha ya huyu innocent guy yanawasumbua since day one.
Mbona wasanii wapo wengi Sana halafu mnakimbilia kusema kiba ndo anatafuta kiki!!
Muulize Raymond Kati ya wcb na Kiba yupi anatafuta Kiki kwa mwingine[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mahaba yamewazidi... Wamesahau tupo kwenye nchi huru. Sijui wanashindwa nini kumpa mahaba mtu wao halafu kwa kiba wapandishe vioo maisha yasonge mbele... Kiba mwenyewe ndo kwanza yule eee...
 
Mashabiki wa Kiba mnamdanganya sana Kiba , nyie endeleeni kumdanganya tu
Ukikiona cha nini wenzako wanaumiza kichwa watakipataje!? Hata hivyo kama kuna mahakama ya kuwashkati mashabiki wake twende mkuu ukatufungulie kesi upate haki yako kabisaa kijiba chako kitulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…