brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Ushauri wa bure nampa mdogo wangu Ally Salehe Kiba bora aache mziki akaimbe kaswida maana hana cha maana anachokiimba zaidi ya kudandia nyota ya Diamond platnumz chibu dangote ukipenda muite Simba vampire
Siku Dai atakapo tangaza kuacha mziki ndio utakao kuwa mwisho wa Ally Kiba kusikika maana siku zote anafanya kazi kwa kupitia mgongo wa Dai na hii ndiyo sababu kuu inayomfanya kiba kutokubali kuvunja uwepo wa team zilizopo (team dai vs team kiba) kwa kuwa anajua kuvunjika kwa team ndio kushuka kwa jina lake kwa kasi na mwisho atakuwa level sawa na wasanii wengine kama vile barnaba na belle 9
Kiba kinachomdanganya ni sauti kumbe wapi maskini ya Mungu hamna kitu hajui kutengeneza ngoma kali licha ya kuwa na sauti nzuri kwa hiyo kwa nampa ushauri popote pale umfikie ya kuwa time yake ya kuacha mziki imewadia bora akaimbe kaswida na kupiga madufu