Sisi hatuna shobo na ushamba wa kutangaza tangaza kila kitu tulchonancho...Mfalme anakaa kwao? Hayo ndo mafanikio?
Mwenzake kaanza juzi ana
Nyumba
Office
Na anamiliki lebal yake wcb
Tuzo zaidi ya 20 za kimataifa hadi mtv world wide bado grammy
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mfalme wa kugombania hot pot na bi mkubwaKibongo bongo tunamwita mfalme uchwara
Hivi kuwa na lebal au kishinda tuzo unatangaza? au vinajitangaza venyeweSisi hatuna shobo na ushamba wa kutangaza tangaza kila kitu tulchonancho...
Haaha ha aah aah ha daaaah , haaaah aah hah hah daaaah mkuu umeua sana nimecheka kwa nguvu mpaka kila mtu kanigeukia ananishangaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] mfalme wa kugombania hot pot na bi mkubwa
Nasemea ulvosema et anakaa kwake, ss tunapga vtu vya son siyo tomato mkuuHivi kuwa na lebal au kishinda tuzo unatangaza? au vinajitangaza venyewe
Au umesahau alivyoshinda vituzo vya kili music alijitangaza kwa kupanda daladala wiki nzima
Unoulivyo kuwa hujielewi hata kutofautisha kati ya endorsement deal na record lebal deal hujuiNasemea ulvosema et anakaa kwake, ss tunapga vtu vya son siyo tomato mkuu
Ha ha ha... mkali wao, mwalim wao, mjanja wao, mfalme wao, aise emu tulnganshe nyimbo ya mbagala na sindelela ipi inabamba zaidi? We ali noma... wafundshe mziki hawa wanaotoa nyimbo afu wiki moja hutaman tena kuisklzaUnoulivyo kuwa hujielewi hata kutofautisha kati ya endorsement deal na record lebal deal hujui
Ndo akili za team kiba hizi
Dai kasema tuwaambie dada zenu watoke kariakoo waende ulayaHa ha ha... mkali wao, mwalim wao, mjanja wao, mfalme wao, aise emu tulnganshe nyimbo ya mbagala na sindelela ipi inabamba zaidi? We ali noma... wafundshe mziki hawa wanaotoa nyimbo afu wiki moja hutaman tena kuisklza
Huna hoja ya msingi unarukaruka tu , wewe lete poinys za msingi unasema kiba ni mfalme amefanya kipi cha maana kwake na kwa bongo flava kama kielelezo kama mfalmeHa ha ha... mkali wao, mwalim wao, mjanja wao, mfalme wao, aise emu tulnganshe nyimbo ya mbagala na sindelela ipi inabamba zaidi? We ali noma... wafundshe mziki hawa wanaotoa nyimbo afu wiki moja hutaman tena kuisklza
Muziki ni tawi la sanaa sasa uimtoa mwanamuziki kwenye sanaa unamaanisha nini?king[emoji146]kiba mwanamiziki yeye siyoo msanii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu kibakuli dawa yake ina chemka jikoni mtindo wa kula jasho la mwanamme mwenzake itamtokea puani
Mchochezi upo!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]