brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
-
- #61
Haa ha aaah ha aah, nipo mkuuMchochezi upo!!?
HahahaHaa ha aaah ha aah, nipo mkuu
wana matusi hao alafu huwa hawapendi kuambiwa ukweli,Hahaha
Ila matusi ingekuwa ndio point Kiba angekuwa ndo mwanamuziki bora duniani.
Watu wake wapo vzuri!!
Mkuu nimesahau,hivi nani alianza kutoka kwenye game na kumsaidia mwenzake aliyekuwa underground kati ya Mondi na Kiba? ?huo ni ukweli kbs diamond anamsaidia sana kiba kwwnye swala zima la kick
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wana matusi hao alafu huwa hawapendi kuambiwa ukweli,
Mkuu hii yule jamaa wa tandale ataimba mpaka mwisho wa dunia hataweza kufika hizi levelAli Kiba ni kijana mbunifu sana kwenye muziki. Cheki ubunifu wa hali ya juu kwenye huu wimbo wake
lkn kwa saiv uwepo wa diamond ndio kick ya kiba yaani vice versaMkuu nimesahau,hivi nani alianza kutoka kwenye game na kumsaidia mwenzake aliyekuwa underground kati ya Mondi na Kiba? ?
Hats huwa hantaji ndo ww na kusikiaWe una umri gani?mziki umeanza kufuatilia lini?hebu muulize huyo diamond akutajie watu waliomshika mkono kabla hajawa huyu unaemuona leo,nyie watoto mnatusumbua sana humu kila kukicha mnaleta utoto.
Aiseeewe una laana ya bibi ako
Duuuhakaimbe kaswida we huna mdomo au unaimbia makalio au? huna cha maana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , aya bhanaakaimbe kaswida we huna mdomo au unaimbia makalio au? huna cha maana
Ushauri wa bure nampa mdogo wangu Ally Salehe Kiba bora aache mziki akaimbe kaswida maana hana cha maana anachokiimba zaidi ya kudandia nyota ya Diamond platnumz chibu dangote ukipenda muite Simba vampire
Siku Dai atakapo tangaza kuacha mziki ndio utakao kuwa mwisho wa Ally Kiba kusikika maana siku zote anafanya kazi kwa kupitia mgongo wa Dai na hii ndiyo sababu kuu inayomfanya kiba kutokubali kuvunja uwepo wa team zilizopo (team dai vs team kiba) kwa kuwa anajua kuvunjika kwa team ndio kushuka kwa jina lake kwa kasi na mwisho atakuwa level sawa na wasanii wengine kama vile barnaba na belle 9
Kiba kinachomdanganya ni sauti kumbe wapi maskini ya Mungu hamna kitu hajui kutengeneza ngoma kali licha ya kuwa na sauti nzuri kwa hiyo kwa nampa ushauri popote pale umfikie ya kuwa time yake ya kuacha mziki imewadia bora akaimbe kaswida na kupiga madufu
View attachment 401573
View attachment 401574
View attachment 401575
Lakini mkuu nimeuliza tu nikitaka kujuaa enzi hizooolkn kwa saiv uwepo wa diamond ndio kick ya kiba yaani vice versa
Kiongozi mimi sina team napenda mziki mzuri.. kiba ana ubora wake ndio maana tunamjua na diamond ana ubora wake pia.. tunatakiiwa tuwasupport wote kama vjana walioamua kufanya kazi na kuacha kuiba au kupora mitaani.. lets support them kwa hali na maliUshauri wa bure nampa mdogo wangu Ally Salehe Kiba bora aache mziki akaimbe kaswida maana hana cha maana anachokiimba zaidi ya kudandia nyota ya Diamond platnumz chibu dangote ukipenda muite Simba vampire