Ally Kiba acha mziki kaimbe kaswida

Ally Kiba acha mziki kaimbe kaswida

huo ni ukweli kbs diamond anamsaidia sana kiba kwwnye swala zima la kick
Mkuu nimesahau,hivi nani alianza kutoka kwenye game na kumsaidia mwenzake aliyekuwa underground kati ya Mondi na Kiba? ?
 
Ali Kiba ni kijana mbunifu sana kwenye muziki. Cheki ubunifu wa hali ya juu kwenye huu wimbo wake

Mkuu hii yule jamaa wa tandale ataimba mpaka mwisho wa dunia hataweza kufika hizi level
 
We una umri gani?mziki umeanza kufuatilia lini?hebu muulize huyo diamond akutajie watu waliomshika mkono kabla hajawa huyu unaemuona leo,nyie watoto mnatusumbua sana humu kila kukicha mnaleta utoto.
Hats huwa hantaji ndo ww na kusikia
 
wala huna point msione wenzenu wamefanikiwa unatfta na ww kijiujinga chako kwa wezenu we umefanya nn cha maana sasa sema na we tukuone .
 
Ushauri wa bure nampa mdogo wangu Ally Salehe Kiba bora aache mziki akaimbe kaswida maana hana cha maana anachokiimba zaidi ya kudandia nyota ya Diamond platnumz chibu dangote ukipenda muite Simba vampire

Siku Dai atakapo tangaza kuacha mziki ndio utakao kuwa mwisho wa Ally Kiba kusikika maana siku zote anafanya kazi kwa kupitia mgongo wa Dai na hii ndiyo sababu kuu inayomfanya kiba kutokubali kuvunja uwepo wa team zilizopo (team dai vs team kiba) kwa kuwa anajua kuvunjika kwa team ndio kushuka kwa jina lake kwa kasi na mwisho atakuwa level sawa na wasanii wengine kama vile barnaba na belle 9

Kiba kinachomdanganya ni sauti kumbe wapi maskini ya Mungu hamna kitu hajui kutengeneza ngoma kali licha ya kuwa na sauti nzuri kwa hiyo kwa nampa ushauri popote pale umfikie ya kuwa time yake ya kuacha mziki imewadia bora akaimbe kaswida na kupiga madufu

View attachment 401573

View attachment 401574

View attachment 401575

Na wewe imba utembelee nyota ya daimond.
 
Kiongozi mimi sina team napenda mziki mzuri.. kiba ana ubora wake ndio maana tunamjua na diamond ana ubora wake pia.. tunatakiiwa tuwasupport wote kama vjana walioamua kufanya kazi na kuacha kuiba au kupora mitaani.. lets support them kwa hali na mali
 
Back
Top Bottom