luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Diamond amempa kiki ya kutolea wimbo wake yeye ana shindwa kutumia nafasi...Kiba anabebwa sana na bifu la dai hana jipya
Maana Hata nyimbo tena Hamna,haongelewi kabisa.. Sasa hivi amepata chance ya Ku trend na bila ya fresh ya fid q aisee asingepata cha kuongea Leo.Ahahaaaa kibakuli bwana. Hata Julian wa kwenye animation ya madagascar ni king. Ashukuru leo anaongelewa.
Bila chibu angepata wapi cha kupost
Wimbo upi mkuuHuyo mond wenu ndo amshukuru kiba maana ndo anachotaka kuongelewa na ule wimbo alotoa umedhihirisha kabisa anamchukia kiba, sasa swali kama huyo domo anamzidi kiba kila kitu kwann amchukie vile mbona kuna wasanii wengi wa kuwaimba?? Why kiba?? Na maskini ya Mungu kiba hanaga muda wa kujibizana na hapo tu yamemfika hapaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] malkia wa nguvu ila Nina waswas hiyo caption sio kiba