Ally Kiba amjibu baba Abdul Naseeb

Ally Kiba amjibu baba Abdul Naseeb

Ivi katajwa eeh! Au jiwe gizani kilamtu apambane na mziki wake.
Bila Diamond hampati kiki za ku release vijimbo vyenu maana kwa mwandiko wake huo kuna kajimbo ka kuishia kibaha kanakuja[emoji23][emoji23][emoji23] team stress am soreeeeee
 
Hii vita haito waacha salama mambo yanakua [emoji91] [emoji91] [emoji91]
b9d4b3cda001e9a81718409b3c21182f.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania kwa unafiki na ufitini hamjambo,Sasa hapo kamjibu nini?
wapi kamtaja?Acheni ungese wa kufuatilia wanaume wenzenu na kuwalisha maneno,Hii nchi inawatu wa ajabu kabisa.
 
Alikiba ni kichwa maji sana badala adondoshe wimbo muda huu amepewa support na Mond yeye ana kalia kujiita King utafikiri uking unaliwa ....
King Kiba badilika una wasononesha mashabiki wako....
 
Ahahaaaa kibakuli bwana. Hata Julian wa kwenye animation ya madagascar ni king. Ashukuru leo anaongelewa.
Bila chibu angepata wapi cha kupost
Maana Hata nyimbo tena Hamna,haongelewi kabisa.. Sasa hivi amepata chance ya Ku trend na bila ya fresh ya fid q aisee asingepata cha kuongea Leo.
 
Kuna nyingine ametweet eti anajua anamhate 100% but he don't give a fu@###
 
Huyo mond wenu ndo amshukuru kiba maana ndo anachotaka kuongelewa na ule wimbo alotoa umedhihirisha kabisa anamchukia kiba, sasa swali kama huyo domo anamzidi kiba kila kitu kwann amchukie vile mbona kuna wasanii wengi wa kuwaimba?? Why kiba?? Na maskini ya Mungu kiba hanaga muda wa kujibizana na hapo tu yamemfika hapaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo upi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom