meneja Seven una tegemea nini? nenda kaangalie Sallam au Mendez amepost nini tweetr... amesema wajibiane kwa ngoma sio mitandao... mitandao ibaki kwa washabiki kuzungumza yao...Alikiba ni kichwa maji sana badala adondoshe wimbo muda huu amepewa support na Mond yeye ana kalia kujiita King utafikiri uking unaliwa ....
King Kiba badilika una wasononesha mashabiki wako....
Wanatafuta kiki kwa kiba,kwanini wao wasimjibu kwa tweeter ?wao wametumia wimbo ni kivyao na yeye katumia tweeter, usimpangia mtumeneja Seven una tegemea nini? nenda kaangalie Sallam au Mendez amepost nini tweetr... amesema wajibiane kwa ngoma sio mitandao... mitandao ibaki kwa washabiki kuzungumza yao...
kuna ngoma moja ya Prof. alisem "ukinicheka shambani mimi nakucheka sokoni" kama nimekosea naomba kurekebshwa...Wanatafuta kiki kwa kiba,kwanini wao wasimjibu kwa tweeter ?wao wametumia wimbo ni kivyao na yeye katumia tweeter, usimpangia mtu