Ally Kiba amjibu baba Abdul Naseeb

Ally Kiba amjibu baba Abdul Naseeb

Verse inajibiwa kwa verse sio Twitter, mwambieni Kiba aache uoga. Tunataka kusikia diss kwenye track hizo mipasho za Facebook hawaachie kina Maimuna.
 
77211f93e1014e786e774f3a785f1234.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikiba ni kichwa maji sana badala adondoshe wimbo muda huu amepewa support na Mond yeye ana kalia kujiita King utafikiri uking unaliwa ....
King Kiba badilika una wasononesha mashabiki wako....
meneja Seven una tegemea nini? nenda kaangalie Sallam au Mendez amepost nini tweetr... amesema wajibiane kwa ngoma sio mitandao... mitandao ibaki kwa washabiki kuzungumza yao...
 
meneja Seven una tegemea nini? nenda kaangalie Sallam au Mendez amepost nini tweetr... amesema wajibiane kwa ngoma sio mitandao... mitandao ibaki kwa washabiki kuzungumza yao...
Wanatafuta kiki kwa kiba,kwanini wao wasimjibu kwa tweeter ?wao wametumia wimbo ni kivyao na yeye katumia tweeter, usimpangia mtu
 
Wanatafuta kiki kwa kiba,kwanini wao wasimjibu kwa tweeter ?wao wametumia wimbo ni kivyao na yeye katumia tweeter, usimpangia mtu
kuna ngoma moja ya Prof. alisem "ukinicheka shambani mimi nakucheka sokoni" kama nimekosea naomba kurekebshwa...
 
Back
Top Bottom