Ally Kiba Awasili Kariakoo

Hatari sana, hebu tuwe serious kidogo na hizi show-off.

Yaani kaghorofa tu kamoja kameanguka hapo Kariakoo baaada ya wahusika kufanya kazi chapuchapu na kuokoa wahusika hapo chini na kuclear eneo na mambo mengine yaendelee tunaanza kuleta usanii.
 
Kesho utasikia na Hamis Mobeto nae anakwenda hapo, keshokutwa Diamond.

Hili ni eneo ambalo uokozi unatakiwa ufanywe chapuchapu kuokoa walio hai na kutoa maiti zote, then eneo liwe cleared baadala ya kuleta mbwembwe na showoff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…