Ally Kiba Awasili Kariakoo

Ally Kiba Awasili Kariakoo

Anaenda leo siku ya 4 baada ya tukio. Hebu fanya kama unamuuliza ameshaokoa waathirika wangapi mpaka sasa au bado anapiga selfie hapo. Au ameenda kusema huko kuwa tunamshukuru mama?
 
Anaenda leo siku ya 4 baada ya tukio. Hebu fanya kama unamuuliza ameshaokoa waathirika wangapi mpaka sasa au bado anapiga selfie hapo. Au ameenda kusema huko kuwa tunamshukuru mama?
Kazi yake kujichekesha tu kama kichaa
 
Narudia tena, waliofukiwa chini wanahitaji kutoka hasa wale wazima, tukimaliza zoezi la kutoa wazima tutoe waliokufa wakazikwe.
Baada ya hapo eneo liwe cleared na serikali iendelee na kazi zake.

Hizo ndio kazi zinazozapaswa kufanyika pale, na hakuna anayehitaji kufarijiwa pale, waokoaji ndio kazi ambayo wako standby nayo all the time, pale kinachohitajika ni uokozi au kuongeza manpower na vifaa.
 
Maneno kitu simple.

Chapu chapu au sio?

Tunaposema chapuchapu (harakaharaka) maana yake ni kufanya kazi bila delays hasa kuwafikia wale walio hai ambao kupoteza muda ni kuendelea kuumia au kufa kabisa.

Ziara na mazungumzo meeengi ni kutengeneza delays ilihali watu wanasubiri msaada ni ujinga.
Kitachohitajika pale ni vifaa na skilled manpower yakufanya ile kazi.

Competence ni pamoja na uwezo wa kufikiri haraka na kutenda haraka hasa kwenye serious issue ( aka chapuchapu).

Kushindwa kufikiri haraka na kuact haraka hasa kwenye mazingira serious yanayohitaji kuokoa maisha hiyo tunaita ni Incompetency.
 
Kumbuka kuna mtu yuko studio saa hii anaachia nyimbo ya kufariji ...

Pengine ishaachiwa, Sijui .

Ila hawajatia hata dole hapo, Huyu jamaa is more than an Artist .
 
Back
Top Bottom