Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Bado mm namkamata sooonAlitii sheria bila shuruti,ivyo ameachiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mm namkamata sooonAlitii sheria bila shuruti,ivyo ameachiwa
Umesikia habari za habib Hanga kutapeli watu pesa?Uungwana ni vitendo, amefanya vyema.
Akuna Alie juu ya sheria😂😂😂😂Bado mm namkamata sooon
Sasa kama sio kutalii picha za nini!Utalii ikiwa zoez linaendelea 🤷🏽♂️
Sasa mm sheria natunga mwenyewe how come uje unihukumu?Akuna Alie juu ya sheria😂😂😂😂
Hakuna lolote ameenda kupiga picha baadae ya kelele nyingi kuwalaumu.Ally Kiba Awasili Kariakoo View attachment 3156004@ Wasanii tujifunze kitu kwa huyu mkongwe kwenda kutoa msaada Na siyo Kutupigia Kelele kwenye mitandao😭 Ukiwa kwako Ukiomboleza Chumbani kwako😭 Tufanye Vitendo 😭😭😭
Wapo wengi tuAkuna Alie juu ya sheria😂😂😂😂
Kwan yy Alie piga au wahandishi WA habariSasa kama sio kutalii picha za nini!
Acha wengeAnatafuta kuzungumziwa huyo maana watu tushamsahau
Hivi yupo nilijua amekufa mpeni hi
Mm sipoo😂😂😂Wapo wengi tu
Mpeni poleAcha wenge
Acha wengeMpeni pole
Acha uoga mkuu hakuna tofauti yoyote ya kufa leo na ukafa kesho kutwa😂Mm sipoo😂😂😂
Je kama hakuwepo Dar ndio kaingia leo? Asingeenda pia mngesema.Ingekuwa na tija angeenda Jumamosi, hasa ndio kilikuwa na uhitaji wa watu. Kwenda leo ni kutafuta kiki tu.
Mwisho aangukiwe na tofali la utosi.
Tuanzie hapa watalii wameanza jana mwakinyo leo Ali kiba kesho hatujui kati ya harmonize au diamond!Kwan yy Alie piga au wahandishi WA habari
Tuanzie apo kwanza
Hakuna yeyote angesema kuwa kwanini hakwenda, hasa kwenda kuokoa kwani kawa superman?Je kama hakuwepo Dar ndio kaingia leo? Asingeenda pia mngesema.
Maneno kitu simple.Hatari sana, hebu tuwe serious kidogo na hizi show-off.
Yaani kaghorofa tu kamoja kameanguka hapo Kariakoo baaada ya wahusika kufanya kazi chapuchapu na kuokoa wahusika hapo chini na kuclear eneo na mambo mengine yaendelee tunaanza kuleta usanii.