Ally Kiba Awasili Kariakoo

Ally Kiba Awasili Kariakoo View attachment 3156004@ Wasanii tujifunze kitu kwa huyu mkongwe kwenda kutoa msaada Na siyo Kutupigia Kelele kwenye mitandao😭 Ukiwa kwako Ukiomboleza Chumbani kwako😭 Tufanye Vitendo 😭😭😭
Hakuna lolote ameenda kupiga picha baadae ya kelele nyingi kuwalaumu.
Tujifunze amebomoa hata ukuta?
 
Hatari sana, hebu tuwe serious kidogo na hizi show-off.

Yaani kaghorofa tu kamoja kameanguka hapo Kariakoo baaada ya wahusika kufanya kazi chapuchapu na kuokoa wahusika hapo chini na kuclear eneo na mambo mengine yaendelee tunaanza kuleta usanii.
Maneno kitu simple.

Chapu chapu au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…