Nadhani Domo hata mimi ameniendea kwa Bibi coz' ingawaje namkubali sana lakini nikitulia najikuta namkubali zaidi dogo Amin kuliko hao wote uliowataja. Dogo Amin anajua...ukianza kwenye robo saa yake hadi nikimbie na sasa november or december... dogo anatisha; ana taste fulani ambayo hakuna mwana-bongo flavor yeyote mwenye nayo... cha ajabu naona ni kama hajatoka kivile alivyostahili.]Mwenzenu nikiangalia uwezo hasa sauti za hao waimbaji watatu mbona naona diamond haingii hata kidogo. cha kushangaza nyimbo za domo nazikubali[/COLOR] ila nikikaa nikatulia na kulinganisha naona mmh!! hataa! .hivi ni kwa nini hawa hawafiki mbali kama domo? Ukizingatia kwa kuangalia sauti zao wanauwezo mkubwa sana wa kuperform kwa kutumia band kama wanavofanya p square na wasanii wengine wa mbele. Haya ni mawazo yangu binafsi sijui wenzangu mnasemaje.?
Mwenzenu nikiangalia uwezo hasa sauti za hao waimbaji watatu mbona naona diamond haingii hata kidogo. cha kushangaza nyimbo za domo nazikubali ila nikikaa nikatulia na kulinganisha naona mmh!! hataa! .hivi ni kwa nini hawa hawafiki mbali kama domo? Ukizingatia kwa kuangalia sauti zao wanauwezo mkubwa sana wa kuperform kwa kutumia band kama wanavofanya p square na wasanii wengine wa mbele. Haya ni mawazo yangu binafsi sijui wenzangu mnasemaje.?
Ally Kiba ni muimbaji wa kawaida mno!!!ufanani wake na domo ni kwamba Wote ni average singers but the later ni mkali wa performance ajabu na mfanyabiashara mzur wa muziki!
Huwez linganisha hawa na Barnaba Classic...huyu dogo Ni MWANAMUZIKI KAMILIFBAISEE!!
Kiuhalisia Tanzania kuna mwanamuziki mmoja tu naye ni BARNABA na mwanamuziki huyu kakamilika kuanzia utumiaji wa sauti yake, vifaa vya muziki(Gitaa, kinanda) na pia katika utungaji. Ila kikubwa kinachowatofautisha yeye na Diamond ni aina ya muziki wanaopiga...Diamond ni msanii mwenye kujua soko la muziki kwa sasa linataka nini. Vitu kama shooting nzuri, midundo mizuri pamoja na utumbuizaji jukwaani ni mambo machache tu yanayomfanya Diamond kuwa mwenye upekee na mafanikio aliyonayo. Pia utumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii pamoja na internet vimemfanya aweze kujulikana zaidi ulimwenguni kwa kuweka taarifa pamoja na "show zake" mbalimbali vitu vinavyomfanya ajitangaze kimataifa na kumpa nafasi ya kushirikiana na wasanii wakubwa wengine Afrika na duniani kwa ujumla. Hapo ni kwa ufupi tu lakini wakati mwingine nitamzungumzia Ali Kiba
inavyoonekana wewe una sababu ya kumchukia diamond si kwa kile anachokifanya.coz kama kweli unataka kuongelea vpaj vya wa2 kuna haja gani ya ku2mia neno domo? kiufupi huo ni uhanithi uliokithiri kumchunguza m2 kwa jinc alivyoumbwa so muda mwingine utakuja kukojolewa bure mbwa wee
'Midundo Mizuri'...I Beg To Differ.....Kwakweli Beats Za Diamond Ziko Too Local Kama Za Bongo Flavor Artists Wengine....Mdundo Mzuri Kwa Tafsiri Nzuri Ni Zile Za Real Vyomboz Kama Za Kina Barnaba....
Unataka kusikia Mdundo Mzuri?...Tafuta nyimbo ya MAWAZO ya Hisia(Mwanamuziki Chipukizi Kutoka TPF)
T = Tamaduni muzik
H = Hip hop
T = Tunatisha