Ally kiba, Barnaba, Beka(wa THT) nikiwafananisha na Diamond

Ally kiba, Barnaba, Beka(wa THT) nikiwafananisha na Diamond

mbuyula

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
389
Reaction score
68
Mwenzenu nikiangalia uwezo hasa sauti za hao waimbaji watatu mbona naona diamond haingii hata kidogo. cha kushangaza nyimbo za domo nazikubali ila nikikaa nikatulia na kulinganisha naona mmh!! hataa! .hivi ni kwa nini hawa hawafiki mbali kama domo? Ukizingatia kwa kuangalia sauti zao wanauwezo mkubwa sana wa kuperform kwa kutumia band kama wanavofanya p square na wasanii wengine wa mbele. Haya ni mawazo yangu binafsi sijui wenzangu mnasemaje.?
 
diamond ni mfanyabiashara ambaye anajua sokoni wa2 wanataka nini na kipi kita take over kwenye music industry, na hao ni wanamuziki
mi naona tofauti hapo

pia nyota inachangia hapo
 
Alikiba na Barnaba ni wakali wa kuimba kuliko Diamond,but who the hell is Beka?
 
Ally Kiba ni muimbaji wa kawaida mno!!!ufanani wake na domo ni kwamba Wote ni average singers but the later ni mkali wa performance ajabu na mfanyabiashara mzur wa muziki!
Huwez linganisha hawa na Barnaba Classic...huyu dogo Ni MWANAMUZIKI KAMILIFBAISEE!!
 
]Mwenzenu nikiangalia uwezo hasa sauti za hao waimbaji watatu mbona naona diamond haingii hata kidogo. cha kushangaza nyimbo za domo nazikubali[/COLOR] ila nikikaa nikatulia na kulinganisha naona mmh!! hataa! .hivi ni kwa nini hawa hawafiki mbali kama domo? Ukizingatia kwa kuangalia sauti zao wanauwezo mkubwa sana wa kuperform kwa kutumia band kama wanavofanya p square na wasanii wengine wa mbele. Haya ni mawazo yangu binafsi sijui wenzangu mnasemaje.?
Nadhani Domo hata mimi ameniendea kwa Bibi coz' ingawaje namkubali sana lakini nikitulia najikuta namkubali zaidi dogo Amin kuliko hao wote uliowataja. Dogo Amin anajua...ukianza kwenye robo saa yake hadi nikimbie na sasa november or december... dogo anatisha; ana taste fulani ambayo hakuna mwana-bongo flavor yeyote mwenye nayo... cha ajabu naona ni kama hajatoka kivile alivyostahili.

Mwacheni Diamond aitwe Diamond; pamoja na propaganda za hapa na pale, dogo anaifahamu sana biashara ya muziki! Dogo anavyotufanya wabongo mazuzu; ngoma ya single girl/boy ya Ally Kiba nilitamani ingekuwa ya Diamond! Sa' ka si ufara kuwa nini!!! Yaani tupo wengi tu ambao kila ukisikia pini lenye mbolea, unatamani lingekuwa la Domo!
 
Mwenzenu nikiangalia uwezo hasa sauti za hao waimbaji watatu mbona naona diamond haingii hata kidogo. cha kushangaza nyimbo za domo nazikubali ila nikikaa nikatulia na kulinganisha naona mmh!! hataa! .hivi ni kwa nini hawa hawafiki mbali kama domo? Ukizingatia kwa kuangalia sauti zao wanauwezo mkubwa sana wa kuperform kwa kutumia band kama wanavofanya p square na wasanii wengine wa mbele. Haya ni mawazo yangu binafsi sijui wenzangu mnasemaje.?

Kiuhalisia Tanzania kuna mwanamuziki mmoja tu naye ni BARNABA na mwanamuziki huyu kakamilika kuanzia utumiaji wa sauti yake, vifaa vya muziki(Gitaa, kinanda) na pia katika utungaji. Ila kikubwa kinachowatofautisha yeye na Diamond ni aina ya muziki wanaopiga...Diamond ni msanii mwenye kujua soko la muziki kwa sasa linataka nini. Vitu kama shooting nzuri, midundo mizuri pamoja na utumbuizaji jukwaani ni mambo machache tu yanayomfanya Diamond kuwa mwenye upekee na mafanikio aliyonayo. Pia utumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii pamoja na internet vimemfanya aweze kujulikana zaidi ulimwenguni kwa kuweka taarifa pamoja na "show zake" mbalimbali vitu vinavyomfanya ajitangaze kimataifa na kumpa nafasi ya kushirikiana na wasanii wakubwa wengine Afrika na duniani kwa ujumla. Hapo ni kwa ufupi tu lakini wakati mwingine nitamzungumzia Ali Kiba
 
Kuna tofauti kubwa ya kujua kuimba na kuwa mwanamuziki
Kuwa mwanamuziki au mtu wa burudani kunahitaji mengi kuimba,promo,kuburudisha,stagepeformance,media na sacandal pia kimtindo.

Hao wengine ni waimbaji sio wanamuziki. Hata wanakwaya kanisani ni waimbaji tena wazuri kushinda hao ila sio wanamuziki.
 
Unaweza kujua kuimba ila usijue kucheza au kutunga au kujitangaza. Domo anaweza asijue kuimba ila hivyo vingine anavimudu. Hongera zake kwa hilo.
 
Msaani inabidi awe na presentation nzuri ya kazi zake, kuanzia appearance ambacho mkubali au mkatae kina matter sana, angalia wakina trey song, usher , nelly. Wana super star look kitu ambacho barnaba na beka hawana. Superstar look inaleta kama addiction flani hv kwamba jamaa ata aimbe pumba,Mtaipenda nyimbo tu
 
Daah me Barnaba boy classic jamani ananikonga mtima wangu hadi basi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ally Kiba ni muimbaji wa kawaida mno!!!ufanani wake na domo ni kwamba Wote ni average singers but the later ni mkali wa performance ajabu na mfanyabiashara mzur wa muziki!
Huwez linganisha hawa na Barnaba Classic...huyu dogo Ni MWANAMUZIKI KAMILIFBAISEE!!

Kweli Ndugu!Ali Kiba Is Now Overrated Ili Kumshusha Diamond....I likke Ally As An Artist...But Sidhani Kama Ni Kweli Anamwacha Naseeb Mbali Kivile....He Is Not That Goood!...Barnaba......Ooooh Yes...I'd Pay For His Concert....Classic!
 
inavyoonekana wewe una sababu ya kumchukia diamond si kwa kile anachokifanya.coz kama kweli unataka kuongelea vpaj vya wa2 kuna haja gani ya ku2mia neno domo? kiufupi huo ni uhanithi uliokithiri kumchunguza m2 kwa jinc alivyoumbwa so muda mwingine utakuja kukojolewa bure mbwa wee
 
Na Si kweli kuwa Diamond Hajui Kuimba Jamani.....Whenever I Listen To 'MBAGALA'. Na 'NITARUDI'....I Get That Feeling That Only A Good Singer Can Bring....Ya Feel Me?
 
Kiuhalisia Tanzania kuna mwanamuziki mmoja tu naye ni BARNABA na mwanamuziki huyu kakamilika kuanzia utumiaji wa sauti yake, vifaa vya muziki(Gitaa, kinanda) na pia katika utungaji. Ila kikubwa kinachowatofautisha yeye na Diamond ni aina ya muziki wanaopiga...Diamond ni msanii mwenye kujua soko la muziki kwa sasa linataka nini. Vitu kama shooting nzuri, midundo mizuri pamoja na utumbuizaji jukwaani ni mambo machache tu yanayomfanya Diamond kuwa mwenye upekee na mafanikio aliyonayo. Pia utumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii pamoja na internet vimemfanya aweze kujulikana zaidi ulimwenguni kwa kuweka taarifa pamoja na "show zake" mbalimbali vitu vinavyomfanya ajitangaze kimataifa na kumpa nafasi ya kushirikiana na wasanii wakubwa wengine Afrika na duniani kwa ujumla. Hapo ni kwa ufupi tu lakini wakati mwingine nitamzungumzia Ali Kiba

'Midundo Mizuri'...I Beg To Differ.....Kwakweli Beats Za Diamond Ziko Too Local Kama Za Bongo Flavor Artists Wengine....Mdundo Mzuri Kwa Tafsiri Nzuri Ni Zile Za Real Vyomboz Kama Za Kina Barnaba....
Unataka kusikia Mdundo Mzuri?...Tafuta nyimbo ya MAWAZO ya Hisia(Mwanamuziki Chipukizi Kutoka TPF)
 
inavyoonekana wewe una sababu ya kumchukia diamond si kwa kile anachokifanya.coz kama kweli unataka kuongelea vpaj vya wa2 kuna haja gani ya ku2mia neno domo? kiufupi huo ni uhanithi uliokithiri kumchunguza m2 kwa jinc alivyoumbwa so muda mwingine utakuja kukojolewa bure mbwa wee

duh uhanithi tena
 
'Midundo Mizuri'...I Beg To Differ.....Kwakweli Beats Za Diamond Ziko Too Local Kama Za Bongo Flavor Artists Wengine....Mdundo Mzuri Kwa Tafsiri Nzuri Ni Zile Za Real Vyomboz Kama Za Kina Barnaba....
Unataka kusikia Mdundo Mzuri?...Tafuta nyimbo ya MAWAZO ya Hisia(Mwanamuziki Chipukizi Kutoka TPF)

Ushawahi kusikiliza vizuri nyimbo za diamond kama vile Ukimwona, Kulewa, Kamwambie na Mbagala (kutaja chache tuu) na kugundua kuwa midundo yake ina ladha ya kipekee?
 
Back
Top Bottom